Usije kujaribu kumuomba msamaha mwanamke hata kama umekosea!

You are one in a million, mmebakia wachache sana wenye roho kama yako. Ni jambo jema!
 
Hiyo kuomba msamaha kwa vitendo, huwa unafanyaje?
 
Kuna makosa ya kuomba msamaha, mfano nimemwaga chai yako bahati mbaya wakati tuko mezani, nitakwambia samahani wife. Siyo eti umenifumania halafu niombe meamaha! Haiwezekani.
So yale madogo madogo ni sawa, ila msala ukiwa mkubwa unapotezea au kuvimba kiuanaume tu, si ndiyo mkuu?
 
You are one in a million, mmebakia wachache sana wenye roho kama yako. Ni jambo jema!
Ngoja nimalizie na kisa hiki! Ni changu Mimi.

Baada ya break up kutokea na yule dada! Ile miezi ya kwanza kwanza nilikuwa kwenye frustration kubwa sana sana!

Kwanza jambo Hilo limetokea kipindi namalizia kuandika Kitabu Cha Uamsho na mifumo .... Sasa Si unajua kazi yangu 🀣

Kuna mdada akanitafuta ... She was my client ambaye tulikutana kwenye counseling na tulifika kwenye hatua ya termination na akavuka kwenye tatizo lake!

This time anarudi akiwa na shida ingine, na Mimi ndo nipo kwenye frustration mode! πŸ˜‚

Katika Ile Hali ya kupeana moyo na gafla tukaingia kwenye mahusiano ... Kumbuka Mimi sijawa healed

Ngoja niandike afu nitafuta hii comments πŸ˜‚

Basi bhana! Akaniomba sana nimetembee mkoa alipo!

Nilikuwa kwenye kazi fulani Moshi πŸ˜‚ ... Sikumaliza nikatoroka nikaanza safari ya kuitafuta Tarime!

Nikipanda basi ya mwanza, nikachelewa kufika mwanza ... Mida ya saa moja Nikakuta gari za Tarime zimeondoka!

Nikahangaika kupata usafiri wa fuso linaenda Bunda saa sita usiku! Nikafika saa 8 Bunda nikapata fuso la kwenda Tarime

Nimefika saa kumi na mbili asubuhi πŸ˜‚ ... Chap nikafika kwake akafurahi kuniona!

Kwa sababu ya frustration niliyokuwa napitia basi muda mwingi nilikuwa nipo njwiii! Nimelewa ila vigumu kujua Hilo.

Basi yakafanyika ya kufanyika πŸ˜‚ .. I stayed kama siku 3 ... Siku zote hizo Mimi na wine!

Asubuhi Moja akiwa kazini, akanitumia text kuwa ameota ndoto, Mimi namwambia kuwa siwezi kuendelea na hii relationship kwa sababu Bado Nina hisia na ex Wangu

Nilishangaa sana maana ilikuwa ni kweli, Mimi niliingia kwenye relationship na yeye kwa sababu ya upweke tu!

So nikazidi kuvurugwa! Maana nikaona naenda kuumiza moyo wa huyu mtu ... KITU NINACHOKUCHUKIA MAISHA YANGU YOTEEE!

kesho nikaaga kuondoka! Nilivyofika dar!

Nikamweleza ukweli na kumuomba msamaha ... Toka siku hiyo update

Wino umeisha πŸ˜‚
 
So yale madogo madogo ni sawa, ila msala ukiwa mkubwa unapotezea au kuvimba kiuanaume tu, si ndiyo mkuu?
Yaani wife kΓ kufuma na bonge la sooo halafu upige goti unaomba msamaha! Ukweli natafuta njia nyingine tumalizane. Bora niingie mfukoni nimbembeleze akilegea kidogo namzagamua kwa bidii, huko ndo kuomba msamaha kiuanaume.
Ila kama umeoa bandidu usijaribu huu ushauri.
 
Usiifute bana.
Tunasubiria ununue kalamu mpya, umalizie srori πŸ˜…
 
Kumbe mkikosea mko tayari kutupa hela tutulie, haya ngoja tutunze kumbukumbu πŸ“
 
Unatakiwa kumpa POLE sio kuomba msamaha. Unaombaje msamaha kwa mtu unaemtawala.

Soma Biblia MWANZO 3.16
16 Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
Mwanzo 3:16


 
Maana kuna vitu nilikuwa napanga kwa friji..niliacha na kumfuata na kuomba huo msamaha huo, lile kumbato asee na nilipewa kiss midomo yake ilikuwa na joto balaa πŸ€—
Sawa, tushakuelewa, siku yako iliisha vizuri na ukapewa mbususu πŸ˜„
 
Kwasasahivi uko wapi 😁
 
hii slogan ya kutoomba msahama nakili pekeyangu imenifanya nipite kwenye mahusiano mengi tofauti na umri wangu. Me nahisi tunapaswa kuomba msamaha angalau mara moja moja.
Kila mtu anakosea, kuomba msamaha kunasaidia.
Huwezi kuwa mbabe tu kwenye kila mahusiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…