Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 689
- 3,373
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa.
Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe hufaidiki wala huna amani.
Yani umelala na mke wako kitanda kimoja, unamtani ila humpati. Kama hujaoa unaweza usiamini ila ndo hivyo.
Pia kuna wanawake ni kama wana kipaji cha kumkasirisha mtu, yaani mtu anakuudhi hadi point ya mwisho.