Usije kuoa kwa kuangalia uzuri wa mwanamke, utajuta sana

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa.

Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe hufaidiki wala huna amani.

Yani umelala na mke wako kitanda kimoja, unamtani ila humpati. Kama hujaoa unaweza usiamini ila ndo hivyo.

Pia kuna wanawake ni kama wana kipaji cha kumkasirisha mtu, yaani mtu anakuudhi hadi point ya mwisho.
 
Una elimu gani?
 
Pole mkuu na changamoto, hizi pisi zina tuvuruga..! Mwezi uliopita ilikuwa mwezi Wa mental health issues dah nasikitika kusema wanaume waliokuwa kwenye ndoa ndo wanaongoza kuwa na hizo mental healthy issues and too bad zina sababishwa na wake zao.
 
Wanawake wenye makalio makubwa wanaviburi sana
 
s mnaoa ili muweze kuwatambulisha marafiki zenu mmeoa pisi ya kwenda matokeo yake ni vitu vizito, kunae mmoja aliambiwa mbele ya marafiki zake wakiambiwa wanaume watoke mbele na wewe utatoka, kwanza ukiniacha leo sikosi wakuniokota
 
Kama ambavyo kuna uzuri wa ndani(inner beuty) pia kuna pesa za ndani(Inner money) zipo lakini hazionekani.

Haya mambo mawili ni ya kuzingatia sana linapokuja suala la kuchagua mke. Lazima ujiulize kwanini yeye na ujue jibu la kwanini wewe na usijidanganye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…