Usije kuoa kwa kuangalia uzuri wa mwanamke, utajuta sana

Hao warembo wasiolewe?
Juzi nimsindikiza rafiki yangu kwenye kesi yake na talaka pale Mahakama ya Ndoa na mirathi {One stop center Temeke} nimekuta lundo la wanawake wote wazuri pisi Kali wapo kwenye kesi za talaka Wana mwagwa na waume zao kwa tabia mbaya..
 
Mitako mikubwa wapepewa promotion za media tu na kibaya wanajiona ni wakali kumbe ile minyama, ni shoo ya mavazi tu hamna kitu. Ila reception muhimu tusijizime daTa. Hata wabaya wapo wasumbufu, so afadhali nikerwe na mrembo kuliko kukerwa na tutusa.
 
Yaani sasa hawa wazuri nani awaoe....ebu acheni zenu bwana mnatutisha sana. Wacha tuoe wazuri maana kwanza hao wabaya nao wana cheat tuu.
 
Mitako mikubwa wapepewa promotion za media tu na kibaya wanajiona ni wakali kumbe ile minyama, ni shoo ya mavazi tu hamna kitu. Ila reception muhimu tusijizime daTa. Hata wabaya wapo wasumbufu, so afadhali nikerwe na mrembo kuliko kukerwa na tutusa.
Hii sasa ndio point yenyewe. Muhimu mrembo anakulea mbususu basi
 
🤣🤣🤣 Hayo magaidi ya Israel bado yanahangaika na wanamgambo mwaka sasa unaisha hamna mafanikio na hawajui mateka wamefichwa wapi na Hamas...Mikundu mipana ni Sunna nikipewa naonja..
Nyie ndo mnaharibu na kudhalilisha dini… adhabu ya sodoma ni kurushwa jengo refu tu ufe.
Acheni ufirauni
 
Kuna mtu kishapigwa na kitu kizito tayari. Pole sana. Na hii iwe fundisho kwa wanaume wote wanaopenda kuoa wanawake wenye makalio makubwa na sura za maonyesho; lakini wanakuwa Zero Brain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…