UNAMTUMIAJE MTU HELA USIEMJUAA..??[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Hii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje
Nani alikwambia Jumia wana biadhaa???Ni kama kupatana ila jumia bidhaa ni za kwao wao na wanakupa muda wa kukaa na bidhaa usiporidhika nayo unarudisha.
.
Kupatana ni kama uber hawana gari hata moja.
Jumia wana bidhaa mkuu wanavifaa vya kielektroniki vya aina zote, wanauza cameras, guitar, keyboard, n.k hata vitu vingine wanavyo wanauza chakula na wanafanya delivery hata ukitaka bodaboda unapata shop kwao USIKARIRI.Nani alikwambia Jumia wana biadhaa???
jumia ni kiunganishi tu cha mteja na muuzaji. Ila tofauti na kupata wao wanapokea bidhaa na wanaiwasilisha kwa mteja. Kisha wanapokea malipo na kugawana pesa na muuzaji
Kutapeliwa umependa mwenyewe. Ulitakiwa ukutane na muuzaje na uridhike na bidhaa kabla ya kulipia mkuuHii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje
We jamaa ni KIAZI kwelikweli.Hii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje
mwambie huyo mshamba,, watu tunanunua mpaka magariSio kweli nimenunua iphone ya bei ghali kupatana na wala sijatapeliwa
Tatizo litakuwa ni wewe na ushamba wako
jumia wana ofisi au ndio ofisi mtandaoni?Nzuri sana bidhaaa mpya bei sawa na bure na mali ya uhakika kwa dar mzigo wa thamani ya laki mbili unaletewa hadi home
wako poa sana Jumia nawapenda natumia sana jumia na kupatana
mshamba uyo kaingia kichwa kichwa watoto wa mjini wakamlizamwambie huyo mshamba,, watu tunanunua mpaka magari
Jumia ni Brand kubwa sana mKuu sio kama kupatana Wana Ofisi zao kabisajumia wana ofisi au ndio ofisi mtandaoni?
Wew jamaa huna akili kabsa nasema tena huna akili na unapenda slope tena siku nyingne unaweza kuf*rwa kabsa, yani macbook air kwa laki2 na ishirini unaakili kweli bidhaa yenyew dukani hadi mil3 huko tena used kabsa ni 900k na inategemea wew kwa 220k hata hp kubwa hupat hivo wacha wakutapeli tu tena usilalamike humu
Kaka Mac book ya wap ya 500k labda haina screen, huku jf kilasiku watu wanatoa elimu hata kujifunza kweliBei ilikuwa 500k nimemlipa in advance nikipokea mzgo ndio nimalizie nynnge but kiukwel nimejifunza pia
Duu mtu humjui kabisa yaan umeona tu tangazo na namba ya kutuma muhamala bila kupepesa macho ukatuma muhamala!!!! Daa hauko seriously chalii.Hii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje
Umeelezea nusu nusu kama unabalaswa bwana.....Hii n moja ya website inayotumika sana hapa Tz lakin ndio website yenye matapeli wengi kuliko website yyte ile kuwa makini na wezi hao wa mitandaoni kitu cha 1M watakuuzia hata 300k ilimradi tuh uingie kinge mm binafsi nimetapeliwa 220k
Kuwa makini sana na kununua vitu mtandaoni alifu unamrushia mtu pesa
Jamaa ni gimbi kabisa mkuu, sio kiazi tuu.We jamaa ni KIAZI kwelikweli.
Niulize kwanini nmekuita kiazi.
Ni kama kupatana ila jumia bidhaa ni za kwao wao na wanakupa muda wa kukaa na bidhaa usiporidhika nayo unarudisha.
.
Kupatana ni kama uber hawana gari hata moja.
Jumia wana bidhaa mkuu wanavifaa vya kielektroniki vya aina zote, wanauza cameras, guitar, keyboard, n.k hata vitu vingine wanavyo wanauza chakula na wanafanya delivery hata ukitaka bodaboda unapata shop kwao USIKARIRI.