Usije ukanunua kitu kupatana utaliwa

Usije ukanunua kitu kupatana utaliwa

Hii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje
UNAMTUMIAJE MTU HELA USIEMJUAA..??[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kama kupatana ila jumia bidhaa ni za kwao wao na wanakupa muda wa kukaa na bidhaa usiporidhika nayo unarudisha.
.
Kupatana ni kama uber hawana gari hata moja.
Nani alikwambia Jumia wana biadhaa???
jumia ni kiunganishi tu cha mteja na muuzaji. Ila tofauti na kupata wao wanapokea bidhaa na wanaiwasilisha kwa mteja. Kisha wanapokea malipo na kugawana pesa na muuzaji
 
Jumia wana bidhaa mkuu wanavifaa vya kielektroniki vya aina zote, wanauza cameras, guitar, keyboard, n.k hata vitu vingine wanavyo wanauza chakula na wanafanya delivery hata ukitaka bodaboda unapata shop kwao USIKARIRI.
 
Hii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje
Kutapeliwa umependa mwenyewe. Ulitakiwa ukutane na muuzaje na uridhike na bidhaa kabla ya kulipia mkuu
 
Hii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje
We jamaa ni KIAZI kwelikweli.

Niulize kwanini nmekuita kiazi.
 
Nzuri sana bidhaaa mpya bei sawa na bure na mali ya uhakika kwa dar mzigo wa thamani ya laki mbili unaletewa hadi home
wako poa sana Jumia nawapenda natumia sana jumia na kupatana
jumia wana ofisi au ndio ofisi mtandaoni?
 
kupatana PLC haina Payment Gateway na ni soko huru kila mtu anapost anachojiskia kupost hata kama ni cha uongo au ch udalali...ukituma hela unmtumia mtu direct kwaiyo hauna wa kumdai ukizulumiwa! ile sio aliexpress au Ebay...ni advert site!
 
Wew jamaa huna akili kabsa nasema tena huna akili na unapenda slope tena siku nyingne unaweza kuf*rwa kabsa, yani macbook air kwa laki2 na ishirini unaakili kweli bidhaa yenyew dukani hadi mil3 huko tena used kabsa ni 900k na inategemea wew kwa 220k hata hp kubwa hupat hivo wacha wakutapeli tu tena usilalamike humu

Bei ilikuwa 500k nimemlipa in advance nikipokea mzgo ndio nimalizie nynnge but kiukwel nimejifunza pia
 
Kaka Mac book ya wap ya 500k labda haina screen, huku jf kilasiku watu wanatoa elimu hata kujifunza kweli
 
Hii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje
Duu mtu humjui kabisa yaan umeona tu tangazo na namba ya kutuma muhamala bila kupepesa macho ukatuma muhamala!!!! Daa hauko seriously chalii.
 
Hii n moja ya website inayotumika sana hapa Tz lakin ndio website yenye matapeli wengi kuliko website yyte ile kuwa makini na wezi hao wa mitandaoni kitu cha 1M watakuuzia hata 300k ilimradi tuh uingie kinge mm binafsi nimetapeliwa 220k

Kuwa makini sana na kununua vitu mtandaoni alifu unamrushia mtu pesa
Umeelezea nusu nusu kama unabalaswa bwana.....
 
Mimi tar 15 August 2016 Niliibiwa simu Tecno C5 ya laki2½..... Matapeli wako hapo
 
Ni kama kupatana ila jumia bidhaa ni za kwao wao na wanakupa muda wa kukaa na bidhaa usiporidhika nayo unarudisha.
.
Kupatana ni kama uber hawana gari hata moja.

Bidhaa ni zao au wanaorder China?
Mbona delivery inachukua muda?
 
Jumia wana bidhaa mkuu wanavifaa vya kielektroniki vya aina zote, wanauza cameras, guitar, keyboard, n.k hata vitu vingine wanavyo wanauza chakula na wanafanya delivery hata ukitaka bodaboda unapata shop kwao USIKARIRI.

Jumia hawana bidhaa ni Kama Alibaba
Tofauti wao wanasimamia show nzima
 
Back
Top Bottom