rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
UNAMTUMIAJE MTU HELA USIEMJUAA..??[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Hii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje