Usijichanganye kuoa ama kuishi na mwanamke kutoka sengerema -Mwanza

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Kama wewe huwajui vzr wanawake wa kisengerema asee usioe nini shida ni hivi
Siku mkigombana afu wewe ukatoka jua ukirudi unakuta chumba cheupeeee mweee😁😁
Wanaroga sana wanaume safari za waganga haziishi.
Ugomvi kidogo anakimbilia kwao au kwa mwenyekiti utasikia unpigiwa simu baba fulani unahitajika kwa mwenyekiti daaah aibu😁
Kwenye mapishi hawajui kabisa kama sio mpenzi wa pilipili lazima uanze kutafuta.
Akikosea usimwambie itakuwa kesi
Kama unaishi nae utapigwa ela sana et zakumpoza mama mkwe shit shit.
 
Kwa hiyo tuoe na kuhama nao tuwakimbie wakweli!
 
Hilo Ni Chaguo Lako
Ishi Naye Tu Wala Usilalamike

Mimi Nipo Hapa Namwai West Kilimanjaro Wilayani Siha
Thread Nyingi Sana Humu Lakini Tunadunda Watoto Tele
 
SmartSelect_20250705_132653_Samsung Internet.jpg
 
Mimi ninamchaga wangu nawaza sijui nikaoe maana nikisikia zile sifa zao za kuwadedisha wanaume naanza kuogopa kukaoa.
Atakuua huyu hao kweli pesa ngoja tusubiri ukijipata tu ndo utajua hujui
 
Back
Top Bottom