Kuna haya maneno mawili wakopaji wengi hatuzingatii kutokana pengine kimuhemuhe cha kupata fedha; COMPOUND INTEREST! Hapo ndipo balaa lilipo.Ni mwanzo baada ya muda riba itakuwa kama ile ya benki. Max 20%
Hahaha ndo kipii iko bossKuna wazee wa kuby pass, nime ona kwa macho[emoji855][emoji855].
[emoji117]Kitu kina bebwa
Laki saba 👀👀👀😳😳😳....upo serious??Hawa jamaa sio wazuri sumsung A03 sijui A14 hahaha et kwa siku 2000 kuanzio 50k.
Kwa mwaka inakuja kama laki 7 na elf 70.
No huu ni unyonyaji.
Hivi wewe umpe mtu simu ya laki 4 halafu akupe 2k kwa siku utakubali? Hiyo 2k hata utajua umefanyia nini?miki hata unilipe hiyo 2k kwa miaka 10 sikukopeshi.., buku mbili nafanyia nini sasa? Maana ni sawa na kuflush choo kwa kudondosha tone moja moja, hata mwaka mzima kimba haliendi.., ni uselessHawa jamaa sio wazuri sumsung A03 sijui A14 hahaha et kwa siku 2000 kuanzio 50k.
Kwa mwaka inakuja kama laki 7 na elf 70.
No huu ni unyonyaji.
Bahat nzur hulazimishwi unaenda pekee yakoKausha damu ingine
Unajua wanao kopa wangap? Tambua hizo simu zinakopwa na maelf ya watu. Tanua akili yako japo kidogo.Hivi wewe umpe mtu simu ya laki 4 halafu akupe 2k kwa siku utakubali? Hiyo 2k hata utajua umefanyia nini?miki hata unilipe hiyo 2k kwa miaka 10 sikukopeshi.., buku mbili nafanyia nini sasa? Maana ni sawa na kuflush choo kwa kudondosha tone moja moja, hata mwaka mzima kimba haliendi.., ni useless
Unaonaje ukajipa muda kidogo kujielimisha kutoka kwa wataalamu wa fedha kuhusu nilichoandika.Ninauwakika unakaa kwawazazi wako kwa hichi ulichokiandika
Unapewa nini? Are you sure?Sasa ndugu yangu kila siku unapewa mb 562 buree piga hesabu mb 562x365 unakua na kiasi gani cha data?
Acha kupotosha kama huna pesa tuliza kalio utafinywa shauri yako
Ngoja nikuonyeshe na mm natumia simu ya mkopo kutoka tigoUnapewa nini? Are you sure?
WAnatoa kiasi fulani cha data kwa ajili ya matuminzi ya internet cheki hapo juuUnapewa nini? Are you sure?
Nilimaanisha kuwekeza kwa wanaouza simu. Wengine wanaruhusu mteja kuweka kiasi chochote cha pesa kwenye akaunti ya muuzaji hadi hapo utakapokamilisha malipo yako kulingana na aina ya simu uliyochagua ndipo unapewa simu yako.Mkuu unafuu unaupima kwa kupiga mahesabu ya gharama za kuwekeza vs gharama za mkopo. Gharama za mkopo ushaona ni laki tatu je gharama za kuwekeza mwenyewe ifike laki nne ni kiasi gani?
Wife alienda kuikopa moja ya tgo siku nakuja kujua tulznguana htar na wanawapata wengi mnoHawa jamaa sio wazuri sumsung A03 sijui A14 hahaha et kwa siku 2000 kuanzio 50k.
Kwa mwaka inakuja kama laki 7 na elf 70.
No huu ni unyonyaji.
Unataka kuanzia sh ngapi mkuu?Hivi wewe umpe mtu simu ya laki 4 halafu akupe 2k kwa siku utakubali? Hiyo 2k hata utajua umefanyia nini?miki hata unilipe hiyo 2k kwa miaka 10 sikukopeshi.., buku mbili nafanyia nini sasa? Maana ni sawa na kuflush choo kwa kudondosha tone moja moja, hata mwaka mzima kimba haliendi.., ni useless