Usijichanganye ukachukua “Simu za mkopo”

yes unakuwa umepigwa sana. nadhani ndivyo mikpo iliyo. hata seriklini, mabenki yanatoza riba kubwa miaka 9. Weziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Tatizo sio kukopa. Tatizo ni kukopa sehemu ambayo hata riba yake inashangaza, unakopa ili Nini Hilo nalo ni swali
 
Vijana wengi bado vichwani mwao kufikiri ni kazi kubwa.Unakuta kijana Hana kazi,au anaishi na wazazi anaenda kopa Simu ili aitumie kuingia FB na Instagram kuangalia TU wasanii.Haimuingizii chochote simu hiyo ukumbuke na Bado hapo hajanunua bando.Ukijumlisha gharama za bando na marejesho ya mkopo pengine ange amua ku save mwisho wa mwaka ana mtaji wa biashara ndogo.
 
Utaratibu wa kukopa ni upi nami nikope?? natakiwa niende na nini ofisini kwao??
 
Tatizo sio kukopa. Tatizo ni kukopa sehemu ambayo hata riba yake inashangaza, unakopa ili Nini Hilo nalo ni swali
Unataka long term mkopo uwe na riba ya asilimia ngapi mkuu? Yaani ukope simu kwa mwaka mzima ulipe riba kiasi gani? Simu inauzwa cash 400k, wewe umepewa option ya kulipa 2k per day kwa mwaka mzima, weka risk factors in place, ulitaka ulipe 0.5k per day?(yaani 500 x 30 x 12 = 180,000?) QUOTE ulitakaje?
 
Naomba utaratibu wa kukopa hizo simu nami nikope, natakiwa niwe na vitu gani kama viambatanisho?
Nenda duka la voda na nida tu then kesho unarudi na sumsung Galax. Tigo unatakiwa uende ns mdhamini mmoja
 
Tanzania hakuna anaedhibiti wizi kila mtu anaamua cha kufanya wengine sijui Songesha wanawakopesha watu kwa riba kubwa mno ila BOT wapo kimya kama vile hilo sio swala lao...hapo kwenye simu TBS na BOT wanahusika watu wanakopeshwa simu za hovyo hovyo kweli aisee na Serikali ipo kimya...
 
8100 *4*12=388800 hiyo.simu ni laki tatu..so ukiweka na data ni mule mule
 
TBS wameanza kukopesha lini?
 
Hawa jamaa sio wazuri sumsung A03 sijui A14 hahaha et kwa siku 2000 kuanzio 50k.

Kwa mwaka inakuja kama laki 7 na elf 70.

No huu ni unyonyaji.
. Mbona zinatolewa hiyo lock mkuu, alafu maisha yanaendelea kama kawaida...

. Ongea na mafundi vizuri...

. Baada ya hapo unaenda ku report kuwa simu nimeibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…