MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kweli kaka kuwapata watt wa kishua ndokazi.Inategemea unaoa mke ambaye anahali Gani ya KIPATO.mfano uoe mtoto wa kizimkazi au mtoto wa mfanyabiashara mkubwa lazima utapata baraka ya maendeleo Kwa kasi ya 5G.Sasa wewe ni MASIKINI na unaoa Kwa MASIKINI utegemee baraka upate haraka?
😃😃😃 unamwambia sina helaWee waache, siku baba mkwe aseme amelima Mahindi heka 3 hana hela ya mbolea ndo akili ziwakae
Unajua maana ya ushirikina?Huu ni ushirikina wa waziwazi kabisa.
Ushirikina ni ndumba ama uchawi.Unajua maana ya ushirikina?
Who are you?Kama hujaoa kwa nia sahihi huwezi kuliona hilo, ila take it from me baraka ipo kubwa sana.
Pia huondoa mawazo mengi ya kipuuzi ambayo kijana ambaye hajaoa anakuwa nayo, ukioa kichwa kinakuwa focused kuliko kawaida.
La muhimu kuoa kwa nia sahihi
Acha kudanganya watu baraka zinakuja kwa kufanya kazi kwa bidii na kuwa na nizamu ya pesa mungu humbariki mtu kwa kwa kazi unayofanya hizo baraka za kuoa mke zinatoka wapKama hujaoa kwa nia sahihi huwezi kuliona hilo, ila take it from me baraka ipo kubwa sana.
Pia huondoa mawazo mengi ya kipuuzi ambayo kijana ambaye hajaoa anakuwa nayo, ukioa kichwa kinakuwa focused kuliko kawaida.
La muhimu kuoa kwa nia sahihi
Hakuna kitu kinachoitwa baraka wala laana.Acha kudanganya watu baraka zinakuja kwa kufanya kazi kwa bidii na kuwa na nizamu ya pesa mungu humbariki mtu kwa kwa kazi unayofanya hizo baraka za kuoa mke zinatoka wap
Ok kwa hio ukioa. Mwanamke unakuwa na pesaHakuna kitu kinachoitwa baraka wala laana.
Usipotumia akili utaumia no soft game in life
Hakuna jambo baya kuishi kwa kutegemea IMANI
Jipange ndo uoe hakuna mwanamke Ana barakaOk kwa hio ukioa. Mwanamke unakuwa na pesa