Usijifunze mafanikio kutoka kwa wanawake, utaumia!

So perfect mr 👏 aliekuita na wewe ni motivational speaker, nahis katoka choon bila ku.......
Hvyo msamehe bure, chukulia maneno yake kama kale kajiharufu tu, huwa kanapita. Si unajua 💩 ya kale hayanuki 🚮
 
Nimeona Instagram influencer mmoja anaitwa niffer, anauza cosmetics ameshare historia ya maisha yake, kwamba alikua anauza chakula 2019 hapo mijini daresalam kariakoo, 2023 akaanza kuuza vipodozi, ana mall kama 4 ivi, anasafiri kila sehemu duniani, naona watu wakimpongeza kweli kweli.

Broo, Baba yako amefight for 40 years, since 1970s-1980s, till now but the only thing anachomiliki maisha ya kawaida tu labda nyumba mbili n.k lakini hustling zilionekana hatua kwa hatua, sio motivation wala pesa hazikuja from nowhere, walifanya kazi broo na kazi zilionekana.

Jambo la msingi ambalo kijana ambaye anajitafutia anaweza kufanya ni kuwa mbali na social media na kuwafuatilia hawa influencer, kamwe story zao kuna sehemu hazijakuwa zimenyooka.

Kitu kimoja ukijue broo, hii nchi watu wako na pesa vibaya mno, wengine wanaenda kununua vitu kwa hao influencer wa kike, huku msolombo ukiwa umendadi, kitu cha buku mbili kiambiwa laki 8 na yale Makota, Kibopa ni kuchanganyikiwa tu,

Njoo huku ruaha Mbuyuni mpunga umeiva, njooni tupige mpunga tuyapakie kwenye magunia.

EID EL MUBARAK
Nikikumbuka enzi za kina Wema na Uwoya nachoka Sana, wamedanga ya Wasichana wenzao wengi sana.
 
watu wana siri sana, maisha ya mitandaoni yana mengi sana, kama unakimbizwa na presha za huko utakwama, kuna muda gomvi zinazuka na kusemekana alikuwa na bwana muuza madawa south ndio kambust, kuna siku wamegombana na resty akamtangaza anatoka na waziri sijui mbunge fulani! siku moja kamfokea mfanyakazi wake akarekodiwa kapanic sana anasema hujui mimi nimef**rwa kupata hii duka n etc.. kwahiyo kuna points za kuchukua na za kuacha! biashara zina siri sana na lisemwalo pia lipo... usije ukajidharau kwa hustles zako unazopambana nazo kwa maneno ya kusikia mitandaoni, mwenzenu hana hata 30 ila ndio katoboa kwao, so tuendelea kutumia mitandao kwa kujifunza ama kujifurahisha tu!
Umenena vyema Sina comment. Kwa mfano mwanaume umuige Anko T mkqyundu unao huna?
 
Nimeona Instagram influencer mmoja anaitwa niffer, anauza cosmetics ameshare historia ya maisha yake, kwamba alikua anauza chakula 2019 hapo mijini daresalam kariakoo, 2023 akaanza kuuza vipodozi, ana mall kama 4 ivi, anasafiri kila sehemu duniani, naona watu wakimpongeza kweli kweli.

Broo, Baba yako amefight for 40 years, since 1970s-1980s, till now but the only thing anachomiliki maisha ya kawaida tu labda nyumba mbili n.k lakini hustling zilionekana hatua kwa hatua, sio motivation wala pesa hazikuja from nowhere, walifanya kazi broo na kazi zilionekana.

Jambo la msingi ambalo kijana ambaye anajitafutia anaweza kufanya ni kuwa mbali na social media na kuwafuatilia hawa influencer, kamwe story zao kuna sehemu hazijakuwa zimenyooka.

Kitu kimoja ukijue broo, hii nchi watu wako na pesa vibaya mno, wengine wanaenda kununua vitu kwa hao influencer wa kike, huku msolombo ukiwa umendadi, kitu cha buku mbili kiambiwa laki 8 na yale Makota, Kibopa ni kuchanganyikiwa tu,

Njoo huku ruaha Mbuyuni mpunga umeiva, njooni tupige mpunga tuyapakie kwenye magunia.

EID EL MUBARAK
Nimeona Instagram influencer mmoja anaitwa niffer, anauza cosmetics ameshare historia ya maisha yake, kwamba alikua anauza chakula 2019 hapo mijini daresalam kariakoo, 2023 akaanza kuuza vipodozi, ana mall kama 4 ivi, anasafiri kila sehemu duniani, naona watu wakimpongeza kweli kweli.

Broo, Baba yako amefight for 40 years, since 1970s-1980s, till now but the only thing anachomiliki maisha ya kawaida tu labda nyumba mbili n.k lakini hustling zilionekana hatua kwa hatua, sio motivation wala pesa hazikuja from nowhere, walifanya kazi broo na kazi zilionekana.

Jambo la msingi ambalo kijana ambaye anajitafutia anaweza kufanya ni kuwa mbali na social media na kuwafuatilia hawa influencer, kamwe story zao kuna sehemu hazijakuwa zimenyooka.

Kitu kimoja ukijue broo, hii nchi watu wako na pesa vibaya mno, wengine wanaenda kununua vitu kwa hao influencer wa kike, huku msolombo ukiwa umendadi, kitu cha buku mbili kiambiwa laki 8 na yale Makota, Kibopa ni kuchanganyikiwa tu,

Njoo huku ruaha Mbuyuni mpunga umeiva, njooni tupige mpunga tuyapakie kwenye magunia.

EID EL MUBARAK
We jamaa una mawazo ya kijinga sana. Unajua nguvu ya mitandao wewe? Watu wanaofanya biashara za haya mamitandao sio wakubeza ,, sijafanya tafiti lakini kwa dunia ya sasa vijana under 30 waliofamikiwa kushika hata M200 yakwao wenyewe ni biaashara za mtandaoni ,,, ukiacha madini na kilimo
 
Back
Top Bottom