PeeWee
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,555
- 3,823
Vijana hawataki mazoea, ukijisogeza tu anajua mshangazi anautaka huyu😂😂kuhusiana na nini? ila watoto wa sikuhizi mkichekewa kidogo tu kosa!
Vijana hawataki mazoea, ukijisogeza tu anajua mshangazi anautaka huyu😂😂kuhusiana na nini? ila watoto wa sikuhizi mkichekewa kidogo tu kosa!
wanachekesha! saa nyingine tunawatreat kama wadogo zetu, wao tayari kichwa cha chini kimewashwa🙁Vijana hawataki mazoea, ukijisogeza tu anajua mshangazi anautaka huyu😂😂
Sawa.Ukitaka kujua utajiri bila haramu hauji Mwambie JSM alipe Kodi halali uone kama hatafunga virago.
Mafanikio huja kwa jitihada binafsi, jitihada hizo zinaweza kuwa negative au positive lakini mtu anaweza kufika pale anapotamani
Sema mafanikio ya wanawake yanafikirisha mkuu. Mtu kama diamond, vunjabei(ingawa huyu baba ake alikua mdosi kimtindo), mark juice n.k hustle zao zinaonekana hatua kwa hatua.Ni kweli lazima tuseme waliofanikiwa wameiba,wamef...wa,wanaroga,wanalala na nyoka ili kujustify umaskini wetu. Hakuna aliefanikiwa kwa kufanya kazi kihalali. Hiki ndio kichaka chetu masikini.
Nawaambia broo wanabisha.Mwanaume ni uvuje jasho hadi likauke
Kuna mmoja anajiita nana sijui nono, alinunua harrier kwa pesa ya boomSema mafanikio ya wanawake yanafikirisha mkuu. Mtu kama diamond, vunjabei(ingawa huyu baba ake alikua mdosi kimtindo), mark juice n.k hustle zao zinaonekana hatua kwa hatua.
Sasa hii jinsia nyingine niffer, mobeto, tunda cappacino n.k njia zao hazieleweki eleweki.
Huyo sio ndio yule alipokonywa gari aliloongwa na mbunge akaja mtandaoni kulialia.Kuna mmoja anajiita nana sijui nono, alinunua harrier kwa pesa ya boom
Sasa hivi ana mansion moja matataz😅Kuna mmoja anajiita nana sijui nono, alinunua harrier kwa pesa ya boom
😀😀Kuna mmoja anajiita nana sijui nono, alinunua harrier kwa pesa ya boom
Brother ushauri wako naufanyia kazi nitarudi kukupa mrejesho.Maisha ni siri. Utajiri pia ni siri.
Iwe ni halali au isiwe halali, bado maisha na utajiri vinabaki kuwa siri.
Hakuna tajiri atakupa code ya ukweli ya kutoboa kwake au mbinu zake za kupata utajiri wake.
Brother ushauri wako naufanyia kazi nitarudi kukupa mrejesho.