Usijifunze mafanikio kutoka kwa wanawake, utaumia!

So perfect mr ๐Ÿ‘ aliekuita na wewe ni motivational speaker, nahis katoka choon bila ku.......
Hvyo msamehe bure, chukulia maneno yake kama kale kajiharufu tu, huwa kanapita. Si unajua ๐Ÿ’ฉ ya kale hayanuki ๐Ÿšฎ
 
Nikikumbuka enzi za kina Wema na Uwoya nachoka Sana, wamedanga ya Wasichana wenzao wengi sana.
 
Umenena vyema Sina comment. Kwa mfano mwanaume umuige Anko T mkqyundu unao huna?
 
We jamaa una mawazo ya kijinga sana. Unajua nguvu ya mitandao wewe? Watu wanaofanya biashara za haya mamitandao sio wakubeza ,, sijafanya tafiti lakini kwa dunia ya sasa vijana under 30 waliofamikiwa kushika hata M200 yakwao wenyewe ni biaashara za mtandaoni ,,, ukiacha madini na kilimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ