Nomadix
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 2,411
- 6,646
#Kataa Ndoa sio slogan ya kimasiharamasihara usiikurupukie kama hujaielewa inahusu nini, kuna wanachama wanajiunga na chama hiki bila kujua vigezo na masharti ya chama hiki.
Wapo wanaodhani ni chama kinachokataza kuwa na mwanamke kabisa.
Wapo wanaodhani chama hiki ni uasi wa sheria za kidini. Wakisahau hata bible imesema usioe 1 Wak 7, Luka 20:34-36
Wapo wanaodhani tunakataa ndoa sababu hatuna hela, wasijue kuwa na hela sio kigezo cha kuoa eg. CR7, Na simbalamasimba dangote.
Na wengineo wengi. Niwatoe tu hayo mawazo, hizo zote ni myths tu.
Kataa ndoa ni misimamo na maamuzi kabambe yasiyotetereshwa kwa namna yoyote as long as unaelewa kuwa ndoa ni utapeli.
Kataa ndoa haiwahusu mliokwisha kuoa na kuolewa kisha wakaachana, nyie muanzishe tu chama chenu nasuggest mkiite Chama cha walioshindwa ndoa.
Rais wa kataa ndoa popote ulipo nawasilisha
Cc: Intelligent businessman | komasava | Mallerina et al