ukuwi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 861
- 1,426
Tupo
Tupo pamoja mkuu bado tunasukuma gurudumu.#Kataa Ndoa sio slogan ya kimasiharamasihara usiikurupukie kama hujaielewa inahusu nini, kuna wanachama wanajiunga na chama hiki bila kujua vigezo na masharti ya chama hiki.
-Wapo wanaodhani ni chama kinachokataza kuwa na mwanamke kabisa.
-Wapo wanaodhani chama hiki ni uasi wa sheria za kidini. Wakisahau hata bible imesema usioe 1 Wak 7
-Wapo wanaodhani tunakataa ndoa sababu hatuna hela, wasijue kuwa na hela sio kigezo cha kuoa eg. CR7, Na simbalamasimba dangote.
Na wengineo wengi. Niwatoe tu hayo mawazo, hizo zote ni myths tu.
Kataa ndoa ni misimamo na maamuzi kabambe yasiyotetereshwa kwa namna yoyote as long as unaelewa kuwa ndoa ni utapeli.
Kataa ndoa haiwahusu mliokwisha kuoa na kuolewa kisha wakaachana, nyie muanzishe tu chama chenu.
Rais wa kataa ndoa popote ulipo nawasilisha
Itaendelea...
Cc: Intelligent businessman | komasava | Mallerina et al