Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao
Salute.... Mwaka huu nimeamua kutumia platform hii kuongea na vijana wenzangu hasa waliozaliwa 90s. Mada zangu zote kwa mwaka huu 90% zitakua zinahusu miongozo na ushauri nasihi wa masuala ya ndoa na mahusiano. Let's dive in.... Kwa kipindi zaidi ya mwaka humu Jf kumekua na movement ya kijinga...