Usikatae ndoa sababu ya kufuata mkumbo

Usikatae ndoa sababu ya kufuata mkumbo

Kwani huwezi kutoa hoja zako bila matusi?, au una dhani kila mmoja ni Kama wewe .?
Tusi langu lipo wapi apo au ww akili yako ndio imejaa na matusi...Kwani ushaona Shoga anataka ndoa toka ww umezaliwa.
Nimetumia Reference iyo na ww toa hoja yako ila mm sijamtusi mtu.
 
Sijaona watu wapumbavu kama Wazee wa Kataa Ndoa ,yapo kama Mazombi yanahitaji muongozo na kusafishwa bongo zao kwa msafisho safi kabisa.
usiwe na hasira, hao dada zako waliozalishwa hapo nyumbani watapata tu maboya wa kuwaoa,.....
 
Asante ndugu mkasirikaji ila MASHOGA na WASAGI kwenye ndoa wamejaaa kibaooo.
Cc:- Afande wa zanzibar aliye make headline ana tinduliwa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hakukua na haja ya kuingiza Ushoga na usagaji ktk mada hii.

Au ndo kuishiwa hoja kwenyewe? Lol
 
Tusi langu lipo wapi apo au ww akili yako ndio imejaa na matusi...Kwani ushaona Shoga anataka ndoa toka ww umezaliwa.
Nimetumia Reference iyo na ww toa hoja yako ila mm sijamtusi mtu.
Mbona kuna mashoga wako ndani ya ndoa? Au hujui nn unazungumzia? Lol
 
Mbona kuna mashoga wako ndani ya ndoa? Au hujui nn unazungumzia? Lol
Unajua maana ya ndoa wewe lakini...Au unadhan watu kuishi nyumba moja na walifunga ndoa ndio wapo kwenye ndoa.
Ndoa ina wajibu zake sasa Shoga ataweza kutekeleza wajibu wa ndoa kikamilifu kwa akili yako
 
Naam, KATAA NDOA TUNZA FURAHA YAKO. kuna wale Wana makasiriko na Sisi kutuona kama mashoga😀😀😀😀ila ukweli ni kwamba wanapata tabu Sana kwenye NDOA Zao na bahati mbaya hawana sifa za kujiunga na hiki chama ndiyo maana makasiriko Yao wanatuletea Sisi, poleni Sana jamani
 
Ndoa si kwa kila mtu. Huu ni uhalisia mtupu

Kuna ambao wanafurahia ndoa

Na kuna ambao ndoa ni mwiba mchungu

Ukiona hufurahii achana nayo.
nashangazwa na mtu anaechukia maamuzi ya mtu mwingine tena yasiyomuathiri kabisa.
 
Kuna mdau aliwahi kuandika humu kuwa mchakato mzima wa ndoa kuanzia kutongoza, uchumba, kutoa mahari hadi kufunga ndoa hiyo process nzima imekaa kitapeli tapeli tu na unafiki mwingi.
utapeli mkubwa sana ni ndoa.
 
Back
Top Bottom