Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 1,236
- 2,060
Love life basiexperience ya nini naomba kazi kwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Love life basiexperience ya nini naomba kazi kwani
This makes senseExperience is so simple in obtaining.
""We angalia yanayoendelea mtaani kwako"
1. Umetongozwa na waume za watu wangapi?
2. Umetembea na waume za watu wangapi?
3. Umekutana na wake za watu wangapi wana cheat..!!!
Jijibu then FANYA CONCLUSION MWENYEWE
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sasa what do you think ni suluhisho ya hili jangaUasherati mkubwa unafanywa na WANANDOA.
Kila mwanamke aliyeolewa ANATOMBW* NJE
Braza walioa TUNA SHARE MADEMU MTAANI.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Itaendelea...
#Kataa Ndoa sio slogan ya kimasiharamasihara usiikurupukie kama hujaielewa inahusu nini, kuna wanachama wanajiunga na chama hiki bila kujua vigezo na masharti ya chama hiki.
Wapo wanaodhani ni chama kinachokataza kuwa na mwanamke kabisa.
Wapo wanaodhani chama hiki ni uasi wa sheria za kidini. Wakisahau hata bible imesema usioe 1 Wak 7, Luka 20:34-36
Wapo wanaodhani tunakataa ndoa sababu hatuna hela, wasijue kuwa na hela sio kigezo cha kuoa eg. CR7, Na simbalamasimba dangote.
Na wengineo wengi. Niwatoe tu hayo mawazo, hizo zote ni myths tu.
Kataa ndoa ni misimamo na maamuzi kabambe yasiyotetereshwa kwa namna yoyote as long as unaelewa kuwa ndoa ni utapeli.
Kataa ndoa haiwahusu mliokwisha kuoa na kuolewa kisha wakaachana, nyie muanzishe tu chama chenu nasuggest mkiite Chama cha walioshindwa ndoa.
Rais wa kataa ndoa popote ulipo nawasilisha
Cc: Intelligent businessman | komasava | Mallerina et al
Wa afya ww jeHujambo kwanza 🙂
Naona na kushuhudia ndoa nyingi zinavyozorotesha amani za watu hasa wanaume, wangapi tumewaona humu wamefungua nyuzi za kuilaani ndoa kwa waliyopitia?Love life basi
kweli kabisa...mfn rais wao kaoa na anawatoto wa5Kuoa ni jambo jema sana halafu kataa ndoa wapi kwemye Keyboard tuu
refer...Post no.3mtag aje athibitishe haya madai.
hapo nakujibu moja tu
Privacy policy za Jamiiforums zinanikataza kutoa taarifa binafsi.
4. Me