Usikatae ndoa sababu ya kufuata mkumbo

Usikatae ndoa sababu ya kufuata mkumbo

Nomadix

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
2,411
Reaction score
6,646

#Kataa Ndoa sio slogan ya kimasiharamasihara usiikurupukie kama hujaielewa inahusu nini, kuna wanachama wanajiunga na chama hiki bila kujua vigezo na masharti ya chama hiki.

Wapo wanaodhani ni chama kinachokataza kuwa na mwanamke kabisa.

Wapo wanaodhani chama hiki ni uasi wa sheria za kidini. Wakisahau hata bible imesema usioe 1 Wak 7, Luka 20:34-36

Wapo wanaodhani tunakataa ndoa sababu hatuna hela, wasijue kuwa na hela sio kigezo cha kuoa eg. CR7, Na simbalamasimba dangote.
Na wengineo wengi. Niwatoe tu hayo mawazo, hizo zote ni myths tu.

Kataa ndoa ni misimamo na maamuzi kabambe yasiyotetereshwa kwa namna yoyote as long as unaelewa kuwa ndoa ni utapeli.

Kataa ndoa haiwahusu mliokwisha kuoa na kuolewa kisha wakaachana, nyie muanzishe tu chama chenu nasuggest mkiite Chama cha walioshindwa ndoa.
Rais wa kataa ndoa popote ulipo nawasilisha​
Itaendelea...

Cc: Intelligent businessman | komasava | Mallerina et al
 
#Kataa Ndoa sio slogan ya kimasiharamasihara usiikurupukie kama hujaielewa inahusu nini, kuna wanachama wanajiunga na chama hiki bila kujua vigezo na masharti ya chama hiki.

-Wapo wanaodhani ni chama kinachokataza kuwa na mwanamke kabisa.
-Wapo wanaodhani chama hiki ni uasi wa sheria za kidini. Wakisahau hata bible imesema usioe 1 Wak 7
-Wapo wanaodhani tunakataa ndoa sababu hatuna hela, wasijue kuwa na hela sio kigezo cha kuoa eg. CR7, Na simbalamasimba dangote.
Na wengineo wengi. Niwatoe tu hayo mawazo, hizo zote ni myths tu.

Kataa ndoa ni misimamo na maamuzi kabambe yasiyotetereshwa kwa namna yoyote as long as unaelewa kuwa ndoa ni utapeli.

Kataa ndoa haiwahusu mliokwisha kuoa na kuolewa kisha wakaachana, nyie muanzishe tu chama chenu.
Rais wa kataa ndoa popote ulipo nawasilisha

Hawa wanaotetea huu ujuha na uzwazwa wameishiwa sifa za kuoa au kuolewa. Ni sizitaki hizi mbichi mwanangu.
 
#Kataa Ndoa sio slogan ya kimasiharamasihara usiikurupukie kama hujaielewa inahusu nini, kuna wanachama wanajiunga na chama hiki bila kujua vigezo na masharti ya chama hiki.

-Wapo wanaodhani ni chama kinachokataza kuwa na mwanamke kabisa.
-Wapo wanaodhani chama hiki ni uasi wa sheria za kidini. Wakisahau hata bible imesema usioe 1 Wak 7
-Wapo wanaodhani tunakataa ndoa sababu hatuna hela, wasijue kuwa na hela sio kigezo cha kuoa eg. CR7, Na simbalamasimba dangote.
Na wengineo wengi. Niwatoe tu hayo mawazo, hizo zote ni myths tu.

Kataa ndoa ni misimamo na maamuzi kabambe yasiyotetereshwa kwa namna yoyote as long as unaelewa kuwa ndoa ni utapeli.

Kataa ndoa haiwahusu mliokwisha kuoa na kuolewa kisha wakaachana, nyie muanzishe tu chama chenu.
Rais wa kataa ndoa popote ulipo nawasilisha
Itaendelea...

Cc: Intelligent businessman | komasava | Mallerina et al
Wengi ya wanachama wa hiki Chama Marinda yao yapo Matatani
 
Kataa Ndoa ni Jamii ya vijana wa hovyo na wasio na akili pia.

Nina hoja nyingi sana kusapoti kauli yangu ila kutokana na muda naona niishie hapo mpaka panapo majaaliwa niitakapoKuja na Uzi rasmi wa kusafisha bongo zao.
 
#Kataa Ndoa sio slogan ya kimasiharamasihara usiikurupukie kama hujaielewa inahusu nini, kuna wanachama wanajiunga na chama hiki bila kujua vigezo na masharti ya chama hiki.

-Wapo wanaodhani ni chama kinachokataza kuwa na mwanamke kabisa.
-Wapo wanaodhani chama hiki ni uasi wa sheria za kidini. Wakisahau hata bible imesema usioe 1 Wak 7
-Wapo wanaodhani tunakataa ndoa sababu hatuna hela, wasijue kuwa na hela sio kigezo cha kuoa eg. CR7, Na simbalamasimba dangote.
Na wengineo wengi. Niwatoe tu hayo mawazo, hizo zote ni myths tu.

Kataa ndoa ni misimamo na maamuzi kabambe yasiyotetereshwa kwa namna yoyote as long as unaelewa kuwa ndoa ni utapeli.

Kataa ndoa haiwahusu mliokwisha kuoa na kuolewa kisha wakaachana, nyie muanzishe tu chama chenu.
Rais wa kataa ndoa popote ulipo nawasilisha
Itaendelea...

Cc: Intelligent businessman | komasava | Mallerina et al
Kidumu cahama 🥰🥰
 
hili ni jambo la wachache jombi jua tofauti ya raha na furaha
Sijaona watu wapumbavu kama Wazee wa Kataa Ndoa ,yapo kama Mazombi yanahitaji muongozo na kusafishwa bongo zao kwa msafisho safi kabisa.
 
Back
Top Bottom