Usikimbizane na 'mafanikio' maana hautayakamata utabaki tu kuyafuata. Mzunguko wa maisha hurudi mwanzo wake bila mwisho

Uhakika Bro

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2022
Posts
3,644
Reaction score
4,315
Ndivyo ilivyo sayansi ina mtindo wa kuadvansiiiiiiiiiii halafu inarudia vya mwanzo.

Teknolojia pia huwa inaboreshwaaaaaa hadi inarudia vya mwanzo mifano;

Tunaanza kwa kuwa na dawa za asili, baadaye viwanda vinaboresha vinaextract vinaunda sindano na vidonge. Watu wanahamia za kisasa halafu tena wanaanza kiona za asili ndio zenyewe. Tunarudi kuanza kuchemsha mizizi ndo tunafurahi.

Kutoka kutembea peku, kugundua viatu kisha kupekua tena.

Kuchuchumaa kujisaidia, kugundua vyoo vya kukaa halafu kuchuchumaa tena😑 imerudi kuwa ndo dili wanaiita deep squatting sijui nini anyway huo ndio mtindo bora zaid wa kukata gogo kuliko choo cha kukaa.

Kupigia mswaki majivu na mkaa, kushadadia dawa za mswaki kisha kurudia tena majivu, mkaa na miswaki ya miti. Rejea whitedent herbal, colgate charcoal na miswaki ya mkaa na mianzi.

Kutembea umbali mrefu, kuboresha kutembelea magari afu tena kurudi kwenye kukimbia na kutembea mfano wa marathons na magyms kila sehemu.

Kula vyakula vigumu vyenye roughage na kambauzi nyingi, kugundua njia za kuchakata na kusafisha makapi yote kupata "processed foods' halafu mwishowe tena kuanza kuitafuta fiber kwa tochi hadi kwa kula vidonge vya fibers.

Unaambiwa ulaya sasa hivi vyakula ambavyo ni ghali kuliko vyote ni vilivyolimwa kana kwamba mkulima hajacomplicate sana, yaani Organically grown/raised food. Kwa hiyo mambo ya mbolea na madawa na pembejeo za kisasa hazitakiwi tena sio bora. See!!!

Mengi tu, mfano tuliishi kifamilia zaidi, kuamua kutafuta pesa (mahusiano ni kupotezeana mida) tu halafu tena kurudia kipaumbele kuwa ni udugu na familia kiasili kabisa. Mtu analiaa kwamba anataka ukaribi zaidi na watu wake 'wa karibu' walio mbali now. Ujinga tu

Ukigundua haka kamchezo utaacha mihemko af utaishi kwa raha sana. Maana miaka huenda miaka hurudi, alisema Muhubiri halafu mambo ya zamani hurejeshwa upya tena ili watu wajitaabishe nayo upya.

Life is easy and fun said Jon Jandai. And he added 'Dont chase success, because you will never catch it, because you follow it.... so dont follow it just stay here here!
 
Sawaaa
 
Back
Top Bottom