Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Bwana bwana tembea uone.
Msichana wa Arusha akikasirika kidogo anaweza kukwambia ntakuchoma kisu mimi.
Au akitaka kukwambia kitu hata kama cha kawaida anaweza kulipuka kwa sauti kubwa ya ukali. Sasa ukiwa huwaelewi utawaogopa ukidhani hawana adabu.
Kumbe ni hulka zao, wala hana hasira, na wala hana kinyongo juu yako. Ndivyo walivyo. Ndivyo walivyokua.
Utamuona ana kiuno kama nyigu, ka komwe kwa mbali na uso mwororo mweusi hauna hata chunusi. Ukiangalia bambataa amejazia, nyororo inakwita.
Sasa pale ukiwa mwanaume unapoona kama amekukosea adabu ukamkalisha chini aisee! Anajiaikia vibaya sana kwani hakujua kama amekukosea. Anapiga magoti anakuomba msamaha na unaona kabisa anajutia.
Ninachotaka kueleza hapa ni kwamba usimwogope Mdada wa Arusha kwa kusikia maneno yake, ukali, au hata maneno ya matusi kama vile we ni mavi tu, we bora ufe huna maana duniani. Haya kwao ni maneno ya kawaida hata Baba Mkwe anaongea hivyo hivyo.
Yangu ni hayo ndugu zangu, leo hapa Tengeru kuna baridi sana na Pasaka hizi.