Usikose Mwanamke mzuri kwa kuogopa Ukali wa maneno yao, Wanawake wa Arusha wanafaa kuoa

Usikose Mwanamke mzuri kwa kuogopa Ukali wa maneno yao, Wanawake wa Arusha wanafaa kuoa

Shida ya pisi za chuga umbo sindano, zikinenepa zinakua pipa.
 
Sijawahi kuona Inspekta muongo Kama Haruni😂😂
Kwao self service mboga saba kujisevia, anakaa varandani, sitting room, jicho kwenye kideo. Kwetu Nyumba ya udongo, choo cha makuti passport size.

Eeh jamani nakosa hata hela ya kumnunulia bigijii.
Istoshe huyu Shori likizo zake sauzi mamtoni amerikaaa.

Yule mwamba alituonesha jinsi ya kumteka akili mwanamke kwa kumsifia. Hachomoi
 
Wanawake wa Arusha wanasura nzuri changamoto Yao hawana matako makubwa.wako kama flat screen.Nawakubali sana wanawake wa jiji la mbeya maana wamefungasha kama tv ya chogo.
Wanawake wa Mbeya

Matako makubwa
VItambi vikubwa
 
Back
Top Bottom