Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Chukua weka ndani kula maishaBwana bwana tembea uone.
Msichana wa Arusha akikasirika kidogo anaweza kukwambia ntakuchoma kisu mimi.
Au akitaka kukwambia kitu hata kama cha kawaida anaweza kulipuka kwa sauti kubwa ya ukali. Sasa ukiwa huwaelewi utawaogopa ukidhani hawana adabu.
Kumbe ni hulka zao, wala hana hasira, na wala hana kinyongo juu yako. Ndivyo walivyo. Ndivyo walivyokua.
Utamuona ana kiuno kama nyigu, ka komwe kwa mbali na uso mwororo mweusi hauna hata chunusi. Ukiangalia bambataa amejazia, nyororo inakwita.
Sasa pale ukiwa mwanaume unapoona kama amekukosea adabu ukamkalisha chini aisee! Anajiaikia vibaya sana kwani hakujua kama amekukosea. Anapiga magoti anakuomba msamaha na unaona kabisa anajutia.
Ninachotaka kueleza hapa ni kwamba usimwogope Mdada wa Arusha kwa kusikia maneno yake, ukali, au hata maneno ya matusi kama vile we ni mavi tu, we bora ufe huna maana duniani. Haya kwao ni maneno ya kawaida hata Baba Mkwe anaongea hivyo hivyo.
Yangu ni hayo ndugu zangu, leo hapa Tengeru kuna baridi sana na Pasaka hizi.
Kaoe SongeaBwana bwana tembea uone.

Kuna nini?Kaoe Songea
Umeona alivyo so loving?Umenikumbusha Nice dah alikuwa mtu sana Kila saa lazima aulize "we mtu umekula?"
And caringUmeona alivyo so loving?
Shule baki nayo wewe sisi tunaangalia maisha na minyanduano tuKutukana na maneno ya shombo ni uhuni tu na ulimbukeni. Nina marafiki wengi kutoka Arusha wa kike ni hawana hizo tabia za kihuni. Halafu ukifuatilia wenye hizo tabia hata shule hawajaenda zaidi ya form four.
Yaani hutojutaAnd caring
Viuno vya kichawi na mahaba ya kichawiKuna nini?
π π π π π colored ,bambadi ,natural color ,chotara ,mng'avu ng'avu ,mweusi ,maji ya kunde!Utamuona ana kiuno kama nyigu, ka komwe kwa mbali na uso mwororo mweusi hauna hata chunusi. Ukiangalia bambataa amejazia, nyororo inakwita.
Ndio maana mnazalisha kizazi cha vibaka na wanywa gongo..Shule baki nayo wewe sisi tunaangalia maisha na minyanduano tu
Nipasie mmoja kama vipiπKutukana na maneno ya shombo ni uhuni tu na ulimbukeni. Nina marafiki wengi kutoka Arusha wa kike ni hawana hizo tabia za kihuni. Halafu ukifuatilia wenye hizo tabia hata shule hawajaenda zaidi ya form four.
Kaka umeuaa ......bilashaka umenielewaπ π π π π colored ,bambadi ,natural color ,chotara ,mng'avu ng'avu ,mweusi ,maji ya kunde!
Acha ukoloni braza, sio kwamba anakudharau bali ndio mazingira kwao maneno ni rahaja tuAhahahah..mimi siwezi. Am so sensitive when it comes to respect. Very sensitive yan π