Usiku ni wa kupumzika, kwanini bado tunakesha?

Ahaaa kumbe sawa mkuu asante
kama unabisha fanya usafiri kwenda kwa nchi kama marekan afu utumie saa ya hapa uone utakavoteseka kiongoz. Yaan unajikuta hata ndan ya ndege unapanga ulale na kweli unalala mnafika huko ndio ulikokua unaenda tena unakuta ni usiku tena na wewe n mgeni unaanza kujigeuza bed ndo pale watoto wa mwenyeji wako asubuh unaskia wakiambiana "uncle is aghost" coz wao wamelala na wewe ndo bado kabsa huna habar ya usingiz. Na ndo kinachopelekea wafrika weng marekani ni mateja wa kutupwa.
 
Duh aisee
Ila mimi nimeuliza kwanini watu huchelewa kulala nikatoa mpka mifano ya sababu moja wapo

Kumbe kuna sababu nyingi tu ok
Asante kaka
 
acha nikupe kisa kimoja hapa. Kuna cku nimedrive watu kwenda sehem na ni sehem ya 8hrs na gari. Sasa tumefka jioni watu wakamaliza shuguli mapema tu na wakasema hawalali waende kula bata kwanza mim nikalala mchana huo hadi kufika saa kumi jion nikawafata wako biee kila mtu. Nkasema hapa leo si uzuri wote wamelewa kasoro mimi na msabato mmoja na wakasema tusafiri ikifka saa tatu town yeyote tutakayokutana nayo tulale huko. Yaani walijikuta tumefika nyumban bila kujua tumefkaje hadi mmoja anaamka yupo kwake anauliza mke wake chumba ni bei gani maana hakulipa aliingia kulala bila kunegotiate. Sa usije kukosa kulala ati kisa usiku haujaingia.
 
Nukuu: usije ukakosa kulala ati usiku haujaingia👍
 
Simu.
Mimi mchana nakuwa busy na mambo mengine au nisipokuwa na kazi za kufanya napenda kulala mchana so situmii sana simu mida hiyo.
Ila usiku ndo muda ambao natumia sana simu hivyo hujikuta nachelewa kulala. Siku nikiweza ku control matumizi ya simu nahisi nitakuwa nalala mapema.
 
Piga kazi lolo🥰
Ila usiku ndo muda ambao natumia sana simu hivyo hujikuta nachelewa kulala. Siku nikiweza ku control matumizi ya simu nahisi nitakuwa nalala mapema.
Simu ni janga bonge la uraibu
Anza taratibu uone dear
 
Back
Top Bottom