ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #81
Usije umuhimu sana kwenye maisha ya watuThere's a reason you on that phone 24/7
Pole sana kwa kukukandia leo
You should focus on living your life
NB : nachukia wajuaji
Usije umuhimu sana kwenye maisha ya watuThere's a reason you on that phone 24/7
Pole sana kwa kukukandia leo
Kwanini umeconclude Mm mjuaji? Huenda ni Kweli? Maybe am the bitter medicine.Usije umuhimu sana kwenye maisha ya watu
You should focus on living your life
NB : nachukia wajuaji
Najua sehemu ya kuweka watu aina yako ngoja nikuweke hukoKwanini umeconclude Mm mjuaji? Huenda ni Kweli? Maybe am the bitter medicine.
Sorry to be the pain in your ass but I like that way, kusumbua watu tu.
Acha kusoma vipande vya comment vya watu na kujifanya unawajua sanaKwanini umeconclude Mm mjuaji? Huenda ni Kweli? Maybe am the bitter medicine.
Sorry to be the pain in your ass but I like that way, kusumbua watu tu.
For real my g? This is soo funny unanivunja mbavu for sure. Kisa umehisi na ku judge?Najua sehemu ya kuweka watu aina yako ngoja nikuweke huko
I get that, ila sijasema nakujua ni ww ndo umesema. I was just playingAcha kusoma vipande vya comment vya watu na kujifanya unawajua sana
Kama una tiba basi tumia wewe wa kwanza maana una hali mbaya
na sababu hizo mojawapo ni kazi...Mazoea yanakua na sababu
Ni kweli kabisana sababu hizo mojawapo ni kazi...
Tatizo lilianzaje pole sanaHii kwangu imekuwa shida ya muda mrefu sasa.... Hata nikilala saa sita usiku.... Saa nane na nusu au tisa usiku wa manane lazima usingizi ukate.... Ni shida... Natamani usingizi lakini siupati....
Heh 🤔Pumbavu zenu fanyeni mapenzi mtalala vizuri tu
Ndio, ngonoka vizuri utakuja kunishukuruHeh 🤔
Asante kwa ushauri 🙏🙏Ndio, ngonoka vizuri utakuja kunishukuru
Hongera mdogo wangu mzurii😊Pole dada🙌
Me huwa nalala mchana 😃😃
Usijiect AI.... Mwambie mzee mwenzetu aipige vizuri utapata usingizi ndani ya wiki nzimaAsante kwa ushauri 🙏🙏
Mwabheja sanaHongera mdogo wangu mzurii😊
Ukuwe na lindo jema me niende zangu YouTube live nikawaangalie wakenya😃😃Na asante pia