kama unabisha fanya usafiri kwenda kwa nchi kama marekan afu utumie saa ya hapa uone utakavoteseka kiongoz. Yaan unajikuta hata ndan ya ndege unapanga ulale na kweli unalala mnafika huko ndio ulikokua unaenda tena unakuta ni usiku tena na wewe n mgeni unaanza kujigeuza bed ndo pale watoto wa mwenyeji wako asubuh unaskia wakiambiana "uncle is aghost" coz wao wamelala na wewe ndo bado kabsa huna habar ya usingiz. Na ndo kinachopelekea wafrika weng marekani ni mateja wa kutupwa.Ahaaa kumbe sawa mkuu asante
Duh aiseekama unabisha fanya usafiri kwenda kwa nchi kama marekan afu utumie saa ya hapa uone utakavoteseka kiongoz. Yaan unajikuta hata ndan ya ndege unapanga ulale na kweli unalala mnafika huko ndio ulikokua unaenda tena unakuta ni usiku tena na wewe n mgeni unaanza kujigeuza bed ndo pale watoto wa mwenyeji wako asubuh unaskia wakiambiana "uncle is aghost" coz wao wamelala na wewe ndo bado kabsa huna habar ya usingiz. Na ndo kinachopelekea wafrika weng marekani ni mateja wa kutupwa.
poa ila hata mim cjaeleza kwa ubaya.Duh aisee
Ila mimi nimeuliza kwanini watu huchelewa kulala nikatoa mpka mifano ya sababu moja wapo
Kumbe kuna sababu nyingi tu ok
Asante kaka
Yes nime kuelewa piapoa ila hata mim cjaeleza kwa ubaya.
😴😴Aisee...🤔
Aisee kazi sanaIt is that damn phone. Kingine ni kwa sababu ya trauma. Always alert so unajikuta unakesha bila kupenda
acha nikupe kisa kimoja hapa. Kuna cku nimedrive watu kwenda sehem na ni sehem ya 8hrs na gari. Sasa tumefka jioni watu wakamaliza shuguli mapema tu na wakasema hawalali waende kula bata kwanza mim nikalala mchana huo hadi kufika saa kumi jion nikawafata wako biee kila mtu. Nkasema hapa leo si uzuri wote wamelewa kasoro mimi na msabato mmoja na wakasema tusafiri ikifka saa tatu town yeyote tutakayokutana nayo tulale huko. Yaani walijikuta tumefika nyumban bila kujua tumefkaje hadi mmoja anaamka yupo kwake anauliza mke wake chumba ni bei gani maana hakulipa aliingia kulala bila kunegotiate. Sa usije kukosa kulala ati kisa usiku haujaingia.Duh aisee
Ila mimi nimeuliza kwanini watu huchelewa kulala nikatoa mpka mifano ya sababu moja wapo
Kumbe kuna sababu nyingi tu ok
Asante kaka
It's a choice lakini. Hakuna mchawAisee kazi sana
Nukuu: usije ukakosa kulala ati usiku haujaingia👍acha nikupe kisa kimoja hapa. Kuna cku nimedrive watu kwenda sehem na ni sehem ya 8hrs na gari. Sasa tumefka jioni watu wakamaliza shuguli mapema tu na wakasema hawalali waende kula bata kwanza mim nikalala mchana huo hadi kufika saa kumi jion nikawafata wako biee kila mtu. Nkasema hapa leo si uzuri wote wamelewa kasoro mimi na msabato mmoja na wakasema tusafiri ikifka saa tatu town yeyote tutakayokutana nayo tulale huko. Yaani walijikuta tumefika nyumban bila kujua tumefkaje hadi mmoja anaamka yupo kwake anauliza mke wake chumba ni bei gani maana hakulipa aliingia kulala bila kunegotiate. Sa usije kukosa kulala ati kisa usiku haujaingia.
Yes nime kuelewa pia
Swali la uchokozi : yule mnyarwanda umempata
Kumbe ilikua unaniongela mimi au?It's a choice lakini. Hakuna mchaw
Nukuu: usije ukakosa kulala ati usiku haujaingia
Quick to judge kama kawaida yakoKumbe ilikua unaniongela mimi au?
Swali linasema kwanini unachelewa kulala hapo ilibidi ujibu kwa upande wako
Angalia comment yakoQuick to judge kama kawaida yako
Even if why feeling judged,Angalia comment yako
Anyway it's ok 👍
Piga kazi lolo🥰Simu.
Mimi mchana nakuwa busy na mambo mengine au nisipokuwa na kazi za kufanya napenda kulala mchana so situmii sana simu mida hiyo.
Simu ni janga bonge la uraibuIla usiku ndo muda ambao natumia sana simu hivyo hujikuta nachelewa kulala. Siku nikiweza ku control matumizi ya simu nahisi nitakuwa nalala mapema.
Bro usiku mwema aiseee 😴Even if why feeling judged,
Always looking for threat?
There's a reason you on that phone 24/7Bro usiku mwema aiseee 😴