Usiku umekuwa mgumu sana

Hata wale KE wanaochezaga dry then period ichelewe, siku akiiona uwa anaapia harudii tena kucheza dry… ila nikumbie tu, utasahau na utakuja kurudia
🤣🤣🤣 Hatari lakini salama
 
Pole sana mkuu,

Kua makini,angalia usije ukajuta maisha yako yote kwa starehe ya madakika tu,
Hope umejifunza jambo.
 
Je wangeendelea kuacha TLE[emoji1787][emoji1787][emoji1787] si ungekimbia nyumbaa wewee
 
Mkuu usiogope ukimwi kifo ni kifo tu ka utakufa kwa hiv sio mbaya ila siku hizi kuna vidogne utameza
 
Sisi tupo hapa kukupa moyo na kukuonhezea hamasa.
Dont backdown
 
Huna lolote ukiwa sawa utarudia tabia yako ile ile
 
Jasiri haachi asili nimewahi kujidanganya kama wewe Ivo ivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…