Usiku wa deni haukawii kucha, kazi kwenu wananchi!

Usiku wa deni haukawii kucha, kazi kwenu wananchi!

Usiku wa deni haukawii kucha, Wasudani wanadai shingo ya mtu huko igeuziwe kibra! Mimi simo, ila povu linaruhusiwa!
Mnavyo wakweza hao Al Hilal! Mtu asiye wajua anaweza akafikiri labda wapo kwenye level za Al Ahly ya Misri, nk. Kumbe ni timu ya kawaida tu.

Kwanza Yanga wamewazidi kwa ubora wa kikosi.
 
Manara alisema: Iwe mvua liwe jua (tsiendelee tuishie hapo hapo!! Kweli wameishia hapo hapo!
 
Back
Top Bottom