Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- D9 inakukuta ukiwa mkoa gani?
- Umebaki maeneo ya mijini au ni kama sisi umekimbilia kijijini au nchi jirani?
- Ikitokea kesho ni siku yako ya mwisho duniani, tupe maneno yako ya mwisho ya kutuaga.
- Niidhani uzushi, jana safarini napita hadi hivi viwilaya vidogo, kwenye maduka hakuna condom. Vijana kama mnaandamana mbona mmemaliza zana zote madukani?
- Uliza swali la kizushi kwangu au kwa mwanaJF yoyote, utajibiwa.