kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Nijibu kwanza nikuambie hio experience.... 😃Swali limekaa kimtego, kabla sijajibu niambie: umeipata hiyo experience kwa mara ya kwanza nini? na ulijisikiaje?
Nijibu kwanza nikuambie hio experience.... 😃Swali limekaa kimtego, kabla sijajibu niambie: umeipata hiyo experience kwa mara ya kwanza nini? na ulijisikiaje?
Jibu ni ndiyo naweza na napenda.Nijibu kwanza nikuambie hio experience.... 😃
Sijui niwape hongera au pole.Kwanza nashukuru siku ya kesho watu wetu wa mkoa wa Mtwara kukataa kushiriki haya maandamano ,sababu haya maandamano siyo maandamano halili ni maandamano haramu so kesho ni siku ya kuliombea taifa amani siyo siku ya umwagaji damu wala maandamano
Òoh.. kuitwa ponistaa ama whatever ni maoni tu ya watu na yatabaki kuwa maoni.... personality yako ni ile ile tu ! Anyway napenda unavyoengage, ndo maana nakupaga vikomenti vya uchokozi ! 🔥Jibu ni ndiyo naweza na napenda.
Siwezi kuandika sana hapa maana nilishaitwa pornstar nitazidi kuwapa sababu 😅
Taarifa ya kifoUngependa tukuletee nini mkuu?
Kifo cha nani?Taarifa ya kifo
How nice of you, asante 😊.Òoh.. kuitwa ponistaa ama whatever ni maoni tu ya watu na yatabaki kuwa maoni.... personality yako ni ile ile tu ! Anyway napenda unavyoengage, ndo maana nakupaga vikomenti vya uchokozi ! 🔥
Ya kuwa muwazi kwye Kila kituAsante 😅 ila maua ya nini tena?
In the market for what?Are you in the market or something???
Nilikua namtafutia shem wako zana, maana 😅We dada wewe kwenye viduka ukaulizia kondom badala ya mkate angalia shem asije akakuchoma na magunia ya mkaa🤓🤓🤓🤓🤓
Sawa, tunangoja
Linda uhai wako na kiwiliwili chako
epuka Maandamano haramu
If we must die, let it not be like hogs
- D9 inakukuta ukiwa mkoa gani?
- Umebaki maeneo ya mijini au ni kama sisi umekimbilia kijijini au nchi jirani?
- Ikitokea kesho ni siku yako ya mwisho duniani, tupe maneno yako ya mwisho ya kutuaga.
- Niidhani uzushi, jana safarini napita hadi hivi viwilaya vidogo, kwenye maduka hakuna condom. Vijana kama mnaandamana mbona mmemaliza zana zote madukani?
- Uliza swali la kizushi kwangu au kwa mwanaJF yoyote, utajibiwa.