Usiku wa kuamkia D9: Yajayo yanafurahisha - Karibu Tuzogoe!

  1. D9 inakukuta ukiwa mkoa gani?

  2. Umebaki maeneo ya mijini au ni kama sisi umekimbilia kijijini au nchi jirani?

  3. Ikitokea kesho ni siku yako ya mwisho duniani, tupe maneno yako ya mwisho ya kutuaga.

  4. Niidhani uzushi, jana safarini napita hadi hivi viwilaya vidogo, kwenye maduka hakuna condom. Vijana kama mnaandamana mbona mmemaliza zana zote madukani?

  5. Uliza swali la kizushi kwangu au kwa mwanaJF yoyote, utajibiwa.
Sasa wewe unatafuta Condom za nini, kwani una kijana unamlea?
 
  1. D9 inakukuta ukiwa mkoa gani?

  2. Umebaki maeneo ya mijini au ni kama sisi umekimbilia kijijini au nchi jirani?

  3. Ikitokea kesho ni siku yako ya mwisho duniani, tupe maneno yako ya mwisho ya kutuaga.

  4. Niidhani uzushi, jana safarini napita hadi hivi viwilaya vidogo, kwenye maduka hakuna condom. Vijana kama mnaandamana mbona mmemaliza zana zote madukani?

  5. Uliza swali la kizushi kwangu au kwa mwanaJF yoyote, utajibiwa.
Kwani upo na mashoga zako wangapi hapo ulipo na mnataka msogozane kuhusu nini,ama unamchimba nani hata kama ni wazee wa Daslam waambie ukizunguka mbuyu itawatumbukiza kwenye bwawa la mamba na wataliwa bure.Huku wewe ukitarajia kudunda mwanzo mwishi
 
Babe Xiao qui shui , wewe na rafiki yako Rayns mtakua wapi?
 
Kwani upo na mashoga zako wangapi hapo ulipo na mnataka msogozane kuhusu nini,ama unamchimba nani hata kama ni wazee wa Daslam waambie ukizunguka mbuyu itawatumbukiza kwenye bwawa la mamba na wataliwa bure.Huku wewe ukitarajia kudunda mwanzo mwishi
Hueleweki huo mwandiko 👆, hebu rudia kusoma tena ujisahihishe
 
  1. D9 inakukuta ukiwa mkoa gani?

  2. Umebaki maeneo ya mijini au ni kama sisi umekimbilia kijijini au nchi jirani?

  3. Ikitokea kesho ni siku yako ya mwisho duniani, tupe maneno yako ya mwisho ya kutuaga.

  4. Niidhani uzushi, jana safarini napita hadi hivi viwilaya vidogo, kwenye maduka hakuna condom. Vijana kama mnaandamana mbona mmemaliza zana zote madukani?

  5. Uliza swali la kizushi kwangu au kwa mwanaJF yoyote, utajibiwa.
Kwanza nashukuru siku ya kesho watu wetu wa mkoa wa Mtwara kukataa kushiriki haya maandamano ,sababu haya maandamano siyo maandamano halili ni maandamano haramu so kesho ni siku ya kuliombea taifa amani siyo siku ya umwagaji damu wala maandamano
 
Back
Top Bottom