Usiku wa kuamkia D9: Yajayo yanafurahisha - Karibu Tuzogoe!

Sasa wewe unatafuta Condom za nini, kwani una kijana unamlea?
 
Kwani upo na mashoga zako wangapi hapo ulipo na mnataka msogozane kuhusu nini,ama unamchimba nani hata kama ni wazee wa Daslam waambie ukizunguka mbuyu itawatumbukiza kwenye bwawa la mamba na wataliwa bure.Huku wewe ukitarajia kudunda mwanzo mwishi
 
Babe Xiao qui shui , wewe na rafiki yako Rayns mtakua wapi?
 
Kwani upo na mashoga zako wangapi hapo ulipo na mnataka msogozane kuhusu nini,ama unamchimba nani hata kama ni wazee wa Daslam waambie ukizunguka mbuyu itawatumbukiza kwenye bwawa la mamba na wataliwa bure.Huku wewe ukitarajia kudunda mwanzo mwishi
Hueleweki huo mwandiko πŸ‘†, hebu rudia kusoma tena ujisahihishe
 
Kwanza nashukuru siku ya kesho watu wetu wa mkoa wa Mtwara kukataa kushiriki haya maandamano ,sababu haya maandamano siyo maandamano halili ni maandamano haramu so kesho ni siku ya kuliombea taifa amani siyo siku ya umwagaji damu wala maandamano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…