mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
American fans dance in joy as Nigerian singer Davido gives them the performance of a lifetime at the Grammy Award's partner show with BMI in the US. πΊπΈπ³π¬π₯
View attachment 2894284
Davido ana zibeba mbili leooo
Kabisa kabisa bila makosa.Ko una tumia mkono wa kushoto na kulia ipasavyoππ€£
Hata Kwenye nomination hayumoπKama diamond hapewi sisi wahuni wa hapa tandale stand tunaandama kesho tunafunga morogoro road
Katibu Kama katibuππ€£Kabisa kabisa bila makosa.
Mikakati ya mabeberu wasiolitakia nia njema taifaHata Kwenye nomination hayumoπ
Wewe mboni ukatuwekea Wanaijeria tupu?Una mjua Angelique kidjo, vipi na Hawa wame toka Nigeria wote??
View attachment 2894252
Leo hii hujawaweka pale mkuu?Kaka mbona Kuna wasanii wa nchi nyingine washa Wai chukua??
Sija weka nini π€Leo hii hujawaweka pale mkuu?
Nimefatilia hapa mkuu tupe updatesKaka fatilia utaona
kaka safari hii walio pata nafasi ni wa Nigeria wengi.Wewe mboni ukatuwekea Wanaijeria tupu?
Category za GhanaSija weka nini π€
Unamaanisha South Africa hakuna wasanii hata Bongo tuna nini hatuna waimbaji Muziki?kaka safari hii walio pata nafasi ni wa Nigeria wengi.
πNa hizo category ndo Zina mchuano mkubwa
Sija jua labda Hawa kuwasioisha kazi zao katika tuzo hizoUnamaanisha South Africa hakuna wasanii hata Bongo tuna nini hatuna waimbaji Muziki?
Ko tuna hujumiwa ehhπ€£π€Mikakati ya mabeberu wasiolitakia nia njema taifa
Hawakupeleka kazi zaoSija jua labda Hawa kuwasioisha kazi zao katika tuzo hizo