Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Akili Sina Mkuu endelea bwana.Watu wa JF humu hatujuani so wengine huongea utani tu.Endelea bwana..Yaani story yako inavutia sana sana
 
Mtumie elf tano aweze kuandika
 
Story ya Yoga inahusu nini?
 
Zote nzuri..sema yule mpwayungu village aliboa sana aliposusa kuendelea
Inabidi mtu anapoanzisha kisa chake hapa atuambie atakimaliza ama aache kabisa
 
Zote nzuri..sema yule mpwayungu village aliboa sana aliposusa kuendelea
Inabidi mtu anapoanzisha kisa chake hapa atuambie atakimaliza ama aache kabisa

Tatizo watu wajuaji sana, wanajifanya wao ndo wanajua saaana,

Kama ukiona mtu anasema uongo si uwaache wanaofuatilia huo uongo? Pita kimya kimya
 
Mkuu malizia tu story maana kama ni kukopi si tayari atakopi hizo sehemu ulizomaliza kuandika?

Halafu huyo Buyobe nimefuatilia story zake, zote zinahusu mambo ya usalama na ujasusi, sio kama hii ya kwako, sidhani kama ataikopi maana ni tofauti na stori zake

Kuhadithia vipande vipande ndio vizuri sababu inampa mtu hamu ya kujua next episode itakuwaje, na pia wewe unapata muda
 
Kaka si kila mtu analipa kodi, ada za watoto au kuacha kodi ya meza humu, wengine wanakula na kuishi kwa kutamka neno moja tu kwa siku "shikamoo" basi. Sasa usitegemee mtu kama huyu akishiba na kisha kuperuzi baada ya kuweka bando la jero iliyobaki chenji baada ya kutumwa chumvi aongee sense.
Tatizo watu wajuaji sana, wanajifanya wao ndo wanajua saaana,

Kama ukiona mtu anasema uongo si uwaache wanaofuatilia huo uongo? Pita kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…