goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Ndio mlilie acheni vitu vya bure bure jmnDah hii alosto sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mlilie acheni vitu vya bure bure jmnDah hii alosto sasa
Mtumie elf tano aweze kuandika"kuna siku nilienda pale nnaumwa balaa, yaan nashikiliwa nisianguke, ajabu nikapimwa maleria nikaambiwa sina, kwenda kairuki kupima nakutwa na maleria za kufa mtu, basi nikasema pale ukienda kupima hata uzito si ajabu ukaambiwa hauna" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema nini jafe umenichekesha mno hapo.[emoji23][emoji23]
Mcheki na mpeaa buku tano. Acheni vya bure bureAkili Sina Mkuu endelea bwana.Watu wa JF humu hatujuani so wengine huongea utani tu.Endelea bwana..Yaani story yako inavutia sana sana
Fanya kutuma mchango elf tanoSubscribed.. Ila hakuna story humu jf imenisisimua kama hii mana sehemu zote na shule zote umezozitaja za dar nimeishi...
Mlipie mbna mnazilipia za buyobeStori ishaingia mdudu mtu Sasa kwasababu ya ujuaji wa watu fulan fulani
Mkuu tuma mchango kwakeWalishamsahau maana madogo walikuwa wakimfahamu washamaliza wote
Story ya Yoga inahusu nini?Kak uwe makini Kuna lijamaa la twita huko linajita buyobe atakuaja kuiba hii story na kwenda kuuza huko telegrams. Kama alivyo iba story ya yoga huku wew ukiwa ujapata lolote story Ni nzuri Sana Bora ukaiuze tu kuliko kuleta huku bure
Fany kitu hi story uiuze upige pesa mambo ya bure bure ishapitwa na wakt
Ni hayo tu
We jamaa si upunguze shobo!Mkuu tuma mchango kwake
😇😉Hahaaa...
Nimecheka kwa sauti, babe bhaaana..!!
Mwambie alitisha sna,nikimkumbuka huwa nacheka sanayupo, ila siishi naye
Kweli weka namba tukurushieMkuu kama bando shida weka namba tukutumie
Zote nzuri..sema yule mpwayungu village aliboa sana aliposusa kuendeleabora tu mpwayungu village yeye arudi tu hewani,story yake ilikuwa inatusisimua na kutuelimisha sana .....Ila huyu akili sina yeye anahaso lakini muda huohuo na yeye anawaza mbususu tu,kweli tutafika mwisho wa story akili sina atakuwa na watoto zaidi ya kumi
Zote nzuri..sema yule mpwayungu village aliboa sana aliposusa kuendelea
Inabidi mtu anapoanzisha kisa chake hapa atuambie atakimaliza ama aache kabisa
Mkuu malizia tu story maana kama ni kukopi si tayari atakopi hizo sehemu ulizomaliza kuandika?Daah umenifungua macho mkuu, Ingawa mi nlitaka ku share tu masaibu yaliyonikuta maishani mwangu, kumbe kuna mjinga anaweza kupiga hela bure wakati mi namaliza bandle langu bure,
Basi ngoja niishie hapa, Poleni sana Wadau,
Ntaiandika yote alafu ntaileta yote kwa pamoja,
Ngoja sasa nianze kujibu comment
Tatizo watu wajuaji sana, wanajifanya wao ndo wanajua saaana,
Kama ukiona mtu anasema uongo si uwaache wanaofuatilia huo uongo? Pita kimya kimya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]sity anafkuzana na bus