Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

"kuna siku nilienda pale nnaumwa balaa, yaan nashikiliwa nisianguke, ajabu nikapimwa maleria nikaambiwa sina, kwenda kairuki kupima nakutwa na maleria za kufa mtu, basi nikasema pale ukienda kupima hata uzito si ajabu ukaambiwa hauna" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sema nini jafe umenichekesha mno hapo.[emoji23][emoji23]
Mtumie elf tano aweze kuandika
 
Kak uwe makini Kuna lijamaa la twita huko linajita buyobe atakuaja kuiba hii story na kwenda kuuza huko telegrams. Kama alivyo iba story ya yoga huku wew ukiwa ujapata lolote story Ni nzuri Sana Bora ukaiuze tu kuliko kuleta huku bure

Fany kitu hi story uiuze upige pesa mambo ya bure bure ishapitwa na wakt

Ni hayo tu
Story ya Yoga inahusu nini?
 
bora tu mpwayungu village yeye arudi tu hewani,story yake ilikuwa inatusisimua na kutuelimisha sana .....Ila huyu akili sina yeye anahaso lakini muda huohuo na yeye anawaza mbususu tu,kweli tutafika mwisho wa story akili sina atakuwa na watoto zaidi ya kumi
Zote nzuri..sema yule mpwayungu village aliboa sana aliposusa kuendelea
Inabidi mtu anapoanzisha kisa chake hapa atuambie atakimaliza ama aache kabisa
 
Daah umenifungua macho mkuu, Ingawa mi nlitaka ku share tu masaibu yaliyonikuta maishani mwangu, kumbe kuna mjinga anaweza kupiga hela bure wakati mi namaliza bandle langu bure,

Basi ngoja niishie hapa, Poleni sana Wadau,

Ntaiandika yote alafu ntaileta yote kwa pamoja,

Ngoja sasa nianze kujibu comment
Mkuu malizia tu story maana kama ni kukopi si tayari atakopi hizo sehemu ulizomaliza kuandika?

Halafu huyo Buyobe nimefuatilia story zake, zote zinahusu mambo ya usalama na ujasusi, sio kama hii ya kwako, sidhani kama ataikopi maana ni tofauti na stori zake

Kuhadithia vipande vipande ndio vizuri sababu inampa mtu hamu ya kujua next episode itakuwaje, na pia wewe unapata muda
 
Kaka si kila mtu analipa kodi, ada za watoto au kuacha kodi ya meza humu, wengine wanakula na kuishi kwa kutamka neno moja tu kwa siku "shikamoo" basi. Sasa usitegemee mtu kama huyu akishiba na kisha kuperuzi baada ya kuweka bando la jero iliyobaki chenji baada ya kutumwa chumvi aongee sense.
Tatizo watu wajuaji sana, wanajifanya wao ndo wanajua saaana,

Kama ukiona mtu anasema uongo si uwaache wanaofuatilia huo uongo? Pita kimya kimya
 
Back
Top Bottom