Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Link ya huo uzi
bora tu mpwayungu village yeye arudi tu hewani,story yake ilikuwa inatusisimua na kutuelimisha sana .....Ila huyu akili sina yeye anahaso lakini muda huohuo na yeye anawaza mbususu tu,kweli tutafika mwisho wa story akili sina atakuwa na watoto zaidi ya kumi
 
Link tafadhali

SEHEMU YA KUMI NA MBILI

Ilipoishia,,,,,,,,,,,,,,

Nikashtula sana, Da J akaja, Nikamwambia Da J nimeibiwa vitu, Da J hakuamini, Akasema, mi nimekuja nikakuta mlango upo wazi, nikajua upo ndani, sa nakuita naona kimya, kuingia nashangaa hakuna vitu nikajua umeamua kuhama,

Daah ukisikia majanga ndo haya sasa, basi nikatoka nikaulizia kwa majirani nao wanaishia kushangaa tu, Daah haya maisha acheni tu, Nikampigia Sity akaja, akanikuta pale nimekaa kama bwege, yaan sijui hata nafanya nini, Sity akaniambia hivi wewe utakuwa umemkosea nini Mungu, yaani juzi tu hapa umekabwa ukaibiwa simu, hata mwezi haujaisha unavunjiwa unaibiwa vitu, hapana bwana ebu jichunguze umemkosea nini Mungu,

Sa mi nikifikiria sioni nlipokosea, au sababu siendi kanisani, lakini ni muda tu siendagi kanisani, tangu nianze chuo paka namaliza sijawahi kwenda kanisani, sasa iweje sasa hivi ndo yatokee haya, Basi tukakaa pale paka giza likaingia,

Basi kesho yake Sity akaja, nikamshirikisha wazo langu, akakubali kishingo upande ila na yeye maswali yakawa yaleyale niliyojiuliza usiku, Ila nikamtoa hofu kwamba mimi ni mwanaume lazima nipigane nisikae kizembe tu, na maisha ni popote, Basi akakubali ,shida ikaja ni nauli napata wapi, Basi nikasema nitafute mteja wa kile kitanda ndo nipate nauli,

Kweli nikatangaza kwa wadau mbalimbali mmoja tu ndo akasema atanipa elf 50, nikasema fine, Basi nikaanza maamdalizi ya kuamsha zangu Arusha, Da J alipokuja jioni nikamwelezea, akasema bana usiende , nikamwambia sa nikibaki hapa ntakaaje , sina chochote, lazima niondoke, akasema usiende huko utakufa, nikamwambia mwanaume haogopi kufa

Basi yule jamaa akaja akachukua kile kitanda akanipa hela, Mda huo Sity alikuwa kaondoka akasema atakuja badae alale huku ili kesho anisindikize stand, Basi kweli badae badae hivi Sity akaja, Tukaongea pale, Akanipa elf 30 akasema ameenda kutafuta ndo kapata hiyo, Basi nikawa na elf 80 tayari, Usiku ukaingia tukatandika mabox tukalala, Nikala zangu mzigo wa mwisho mwisho huku nnasikitika huu mzigo ndo nauacha hivyo daah,

Basi saa 11 Sity akanishtua nijiandae, nikaoga pale fresh, nikawa najiandaa andaa pale, wakati najiandaa nikimwangalia Sity usoni machozi yanatiririka tu, Basi nikakaa nianze kum bembeleza, nikamwambia we ndo mke wangu, ngoja nikatafute ntakuja kukuchukua niamini mimi, basi akatulia,

Basi Sity akabeba begi tukatoka, Nikamgongea Da J , nikamuaga pale, Daah alihuzunika sana, Basi akanipa elf 10 akasema utakula njiani, Basi nikampa ufunguo wa geto aje ampe mwenye nyumba

Tukafika ubungo, nikapata gari la saibaba, lilikuwa bado halija jaa basi tuka kaa na Sity siti moja tukaongea mengi tu, ila Sity alikuwa anajizuia lakini machozi bado yanatoka, Ilipofika saa moja gari ikataka kuanza kuondoka, Sity akashuka tukawa tunapungiana kwa chini, Basi chuma ikaamsha taratibu, Sity akawa analikimbiza gari paka likatoka nje ya kituo, Basi gari ikakamata morogoro road, Sity tukamuacha kasimama tu pale kaduwaa gari inaondoka, Basi chuma ikaamsha Arusha moja hiyo

Itaendelea
Hapa nimependa uhusika wa Sity maana alikuwa anakusaidia kwenye msoto na hata jinsi alivyokuaga. Matendo ake yote ni ya wife material. Alijua elimu yako na mapito unayoyapitia akajenga moyoni matarajio makubwa ya kimaisha hasa ukija kupata kazi

Ni dhahiri JPM alivyositisha ajira alisababisha mateso sana kwa vijana waliomaliza vyuo.
 
SEHEMU YA KUMI NA NNE

Ilipoishia,,,,,,,,,,,,,,,

Basi nikachkua boda pale buku paka kisongo, nikaulizia gest pale nikaelekezwa gest moja maeneo yale, nikafika nikaulizia chumba nikaambiwa single elf 5 nikasema fresh, basi nikapewa chumba nikaeka begi langu nikaenda kuoga, nikatoka nikaenda kucheki msosi huko road,nikala nikarudi zangu room, nikajilaza kitandani nikampigia Sity tukaanza kupiga story

Endelea,,,,,,,,,,

Nikakaa pale gest paka ijumaa ifike, ila nikawa natoka naenda kutembea tembea kuangalia maisha ya huko yanaendaje, Basi ijumaa ikafika, nikadamka mapema sana ili niwahi pale kiwandani, kweli nikafika pale,

Ebwanaee!! nikakuta nyomi la kutosha hapo nje, nikajiuliza hawa wote wanatafuta kazi? Duuuh!! Hatari, Basi tukakaa pale, badae wakaja viongozi kuandika majina, kumbe paka jina lako liandikwe inabidi upigane kishenzi, yaani ni kusukumana na utaje jina kwa nguvu paka lisikike,

Daah basi nikafight pale kidume paka jina langu likaandikwa, nikarudi nyuma nikatulia naangalia wengine wanavyopigana, Mwisho wakasema kwa leo inatosha, wengine siku nyingine, wakaondoka na yale majina yetu,

Basi watu wakatawanyika tukabaki sisi tulioandikwa majina, Badae wale viongozi wakarudi, wakaanza kuita majina, ukiitwa jina unaingia ndani, Basi nikaskia jina langu nikaingia ndani, badae tukachukuliwa paka kwenye darasa hivi, tukaanza kupewa maelezo ya kazi,

Tukaambiwa pale mshahara ni laki na nusu, Humo ndani kuna nyumba kwaiyo kwa atakae taka utapewa pa kukaa humo ndani ila utalipia kodi, umeme na maji, aliye tayari mikataba ipo pale tujaze,

Daah sa mi nikatae naenda wapi, Nikawa sina jinsi mtu mzima nikaanguka saini pale, Basi tukachukuliwa tukapelekwa kwa watu wa usalama kazini wakatupa induction pale,

Tukatolewa tukapelekwa kwa mlezi ili atuandikishe na atupangie vyumba, Basi bana hilo likiwanda ni likubwa balaa, yaani huko ndani ni pakubwa unaweza tembea usimalize, humo ndani kuna nyumba za kutosha,zipo ghorofa, zipo za kawaida, kuna maduka kuna baa, yaani ni mji kabisa na ukiwa nje huwezi amini kama humo ndani kuna mji mkubwa hivyo,

Basi tukapangiwa chumba, yaani utafikiri shule, chumba kina vitanda double, mnakaa wa nne chumba kimoja, Basi mlezi akatuchukua akatupeleka sehemu akaaza kutupa sheria za kukaa mule ndani,

Basi badae tukapewa vitambulisho, yaan kama kikadi hivi kimekunjwa huko ndan ni vijedwali vya tarehe, kila siku supervisor wako anatakiwa asaini kibox kimoja kulingana na tarehe husika paka mwezi uishe utapewa kingine, Tukambiwa bila hicho huwezi kuingia wala kutoka mule kiwandani, hata uwe unafahamika,kwaiyo tuvitunze kama mboni ya jicho,

Basi tukaambiwa twende vyumbani badae tutaitwa chakula kikiletwa, kesho ndo tutapelekwa huko kiwandani kwenye kazi, Kweli badae msosi ukaja,tukapanga foleni tukapakuliwa makande pale tukala, jioni tena hivyo hivyo, basi siku ikaisha hivyo,

Kesho yake asubuhi tukapelekwa huko ma idarani kulingana na ulivyopangiwa, mimi nikapelekwa idara ya kuweka rangi kwenye nguo inaitwa dying, Basi nikakabiziwa kwa kiongozi wangu yeye ndo atakuwa ananipangia kazi na pia kusign kitambulisho changu,

Basi kazi ndo ikawa imeanza hivyo, mule ndani kuna matanki ya kuchanganyia rangi, kuna joto balaa, yaani ukiingia asubuhi paka utoke jioni umeiva,na hapo katikati huruhusiwi kutoka hata hapo nje paka upate ruksa, mzee si mchezo,

Basi tukapiga kazi pale mwezi ukakata nikapewa hela yangu pamoja na makato yote nikapewa lak na 20, Nikasema kwa maisha haya hamna kutoboa, hapa ni kusukuma siku tu ili mradi usife ila kwa maisha hamna maisha hapa,

Nikaona nibora nipige tu huku nacheki mishe nyingine kuliko kukaa bure, Basi nikapiga pale miezi ikakata, baada ya kuzoea mazingira nikajaribu kuwatafuta wale jamaa zangu ila nikapata habari walishatambaa kitambo sana baada ya kuona mshahara mdogo, Basi nikapeleleza pale kama kwa vyeti vyangu vile naweza kupata kazi ya maana ila nako nikaona giza tu, Alafu hata hao wenye kazi nnazoona za maana mishahara yao midogo vilevile,

Siku moja nipo room ilikuwa jumapili watu wameenda zao town nimebaki mi na jamaangu pale room tunapiga stori, nikamsimulia bwana kwamba mi nimesomea uinjinia sema sababu ya tatizo la ajira ndo maana nipo pale, daah jamaa akasikitika sana, ila akaniambia pale wapo watu na fani zao,kuna walimu,madaktari,wanasheria ila kwa vile kazi hakuna wapo pale wanapiga mzigo kama mimi kwaiyo nisjilaumu, akasema hata kaka yake na yeye alisomea uinjinia akatafuta kazi sana akakosa, bahati akapata shule moja pale moshi anafundisha kidogo analipwa fresh, nikamuuliza shule gani hiyo akasema inaitwa majengo secondary ipo moshi,

Basi nikawa interested na hiyo shule, labda niende na mimi nnaweza kubahatika, Nikapanga siku moja nitaenda,

Kweli nikajipanga siku hiyo kesho yake ilikuwa off yangu kwaiyo siingii job, basi nikajipanga ili kesho niende huko moshi,
Kweli kesho ikafika, Daah ni siku ambayo sitakaa niisahau maishani mwangu, yani yaliyonipata siku ile ni Mungu tu aliingilia kati, daah!! We acha tu, Basi bana siku ilianza fresh tu yaani,kulipambazuka vizuri nikajiandaa pale niende zangu moshi,

Itaendelea
 
Mkuu me swali langu ni kwamba, mwanzonimwanzoni mwa story yako uliwahi sema kuna kipindi ulipigika ukaamua kurudi kule shuleni ulikosoma A-level ukawatangazia kuhusu kuwafundisha mdogo na muitikio ukawa fresh, ..kwa nn usingerudi kule ukawa unafundisha tu kuliko kupigika hivyo na uwezo wa kufundisha ulikuwa nao tena masomo ya sayansi ambayo ni big deal ?
Walishamsahau maana madogo walikuwa wakimfahamu washamaliza wote
 
Dunia uwanja wa vita.
 
Keep It Up!
 
Kak uwe makini Kuna lijamaa la twita huko linajita buyobe atakuaja kuiba hii story na kwenda kuuza huko telegrams. Kama alivyo iba story ya yoga huku wew ukiwa ujapata lolote story Ni nzuri Sana Bora ukaiuze tu kuliko kuleta huku bure

Fany kitu hi story uiuze upige pesa mambo ya bure bure ishapitwa na wakt

Ni hayo tu
Daah umenifungua macho mkuu, Ingawa mi nlitaka ku share tu masaibu yaliyonikuta maishani mwangu, kumbe kuna mjinga anaweza kupiga hela bure wakati mi namaliza bandle langu bure,

Basi ngoja niishie hapa, Poleni sana Wadau,

Ntaiandika yote alafu ntaileta yote kwa pamoja,

Ngoja sasa nianze kujibu comment
 
Hilo mwenyewe nimeliwaza inakuwaje alushindwa kurudi kule shule kupigia watoto tuisheni?

Back
Top Bottom