Usilolijua: Malkia Elizabeth ni mjukuu wa Mtume Muhamad(s.a.w)

Mbona umemsahau Osama Bin laden ni mtoto wa kambo wa mtume?
 
Kama ingekuwa uongo tunaupanga kwa GPA wewe ningekupa 4. 9., ukiambiwa uthibitishe urichokileta hapa sijui utaanzaje anzaje
 
unabisha tu huenda ikawa,mimi sikuamini kuona kua steve job wa apple kumbe ni msyria,babake mzazi yupo mpaka leo ila alimtosa kama diamond alivyotoswa na babake.
Hili suala la queen lina vyanzo vingi vya habari
Hehehe...soma maandiko na history mkuu, haya mambo yote wanayoyaandika hawa watu ni baada ya wana wa Israel kutawanywa na utawala wa Babilon, walizaana hasa na ni wengi hasa na ndo wanaowasumbua hata sasa hukohuko makwao (Assyria) maana hawa jamaa ni zaidi ya race, kabila, au dini..ukishakuwa tu na damu ya uyahudi ni issue, wewe ni myahudi tu.
 
Ni mjukuu wa mjukuu wa(x43) wa Mtume, kama unasaba wa uspain wa zamani utazingatiwa.
Ingawaje ni vyema kufahamu pia kuwa nyingi ya vyanzo vingi vya miaka ya kale ima vimeharibiwa au havipo wazi kias cha kutosha sana(Unclear)

....
 
Kama ingekuwa uongo tunaupanga kwa GPA wewe ningekupa 4. 9., ukiambiwa uthibitishe urichokileta hapa sijui utaanzaje anzaje
mkuu kwani ukweli unaoujua wewe ni upi?
 
Sidhani kama ni kweli kizazi cha sasa kinatokana na kizazi cha wana watatu wa Nabii Nuhu,tukumbuke Dunia haikuangamizwa yote watu wengine katika pande za Dunia walikuwa wakiendelea na taratibu zao za maisha.Sodoma ni mji na sio Dunia.hivyo bado nasaba ya Mwanadamu inabakia kuwa imetoka katika Adam na Hawa.nafikiri mchangiaji mmoja hakuelewa vyema pale Biblia inaposema juu ya kuangamizwa kwa mji wa Sodoma.
 
Myahudi na mparestina si ndugu na mprestina na mwaraabu hivyo hivyo
 
Kweli hii kali! Na mwalimu nyerere na baba jescka Paulo kagame ni ndugu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…