Usilolijua: Malkia Elizabeth ni mjukuu wa Mtume Muhamad(s.a.w)

Wakupe castle lite mbili baridi ntalipa
 
itikadi za mashia!!
wana itikadi mtume ataingia motoni siku ya kiama,wanaitikadi mtu mweusi hatoingia peponi mpk aingizwe motoni akatakaswe,wanaitikadi ,wanaitikadi kuwa mke wa mtume mama Aisha (Allah amridhie) Amazini,dini yakishia inaruhusu kumwaga damu ya asiyekuwa shia,wanawatukana maswhaba waongofu
 
Hessein alirithi kifo cha baba yake, kwani na yeye aliuliwa kwa sumu na mkewe Myahudi!
Umechanganya hasani ndo aliuliwa na mkewe kwa kutiliwa sumu kwenye chakula baada ya kutongozwa na mfalme aliyemuona kwenye sherehe sasa alipomuoa akaenda kwa mfalme then mfalme akamtimua
 
Yani adi nmejkuta nacheka, kweli watanzania inabd muingie ktk maajabu saba ya dunia kwa uongo ulopitiliza.
Yan umekaa ukaamua kutudanganya jmn.
Hya mjukuu wa yesu ni nani!?
 

Historia ya uislamu ipo vitabuni na vitabu vya waandishi wanaokubalika katika dini, tuambie hii ipo kwenye kitabu gani?
 
mkuu kuna kitu, subiri asubuhi utagundua umeandika nini
Malkia kweli anatoka familia ya mtume. Baba ya babu yake mzaa mama wa king George alikua muislamu ila alibadilisha dini alipomuoa bibi ya bibi ya babu yake mzaa mama wa king George kuwa mkristu.
 
Duuuh, isije ikawa na mimi ni mjukuu wa yesu.. Ngoja nianze kuuliza wazee mapema
 
Haya bhana.
Mohammad ni mjukuu wa adam kama mimi
Sisi ni ndugu..

But none of these methods of tracking of the descendants of Fatima bother to keep track of the female descendants who marry outside the prophet's progeny - surely their children are also descendants of the prophet, albeit not through a purely male ancestral chain. So even though Seyyids and Sharif's are a dime a dozen, we're still a very narrow branch of what is actually a huge genealogical tree.

From the perspective of genealogy, you realize that the prophet's descendants most likely make up a significant portion of the planet.


There are academic studies that place the Most Recent Common Ancestor of all humans within the historical era, only 2-4 thousand years ago. This means we're always greatly underestimating how related we all are, and underestimating the impressive reach of our ancestry (it is almost guaranteed that we all have royal blood from one monarch or another).

There's a study that concludes that an English child today has in his ancestry around 80% of the entire population of England of merely 8 centuries ago!! It is expected that humans living a thousand years from now will be able to claim all 7+ billion of us breeding today as ancestors, yes, you, and you, and even you, will be the ancestor of all xx billion humans living in the year 3013!!

So given 14 centuries of moving and breeding, most of us from that part of the world are probably the prophet's progeny, as well as many of people from other parts of the world. Interestingly enough, exactly due to this vast and varied pool of ancestors that each of us have (which in many cases will include the prophet), the genetic contribution of any individual ancestor beyond 1000 years becomes so diluted that it's effectively flushed out (the ship of Theseus has already sailed my friends).
 
Historia bwana balaaa, bibi yangu mzaa mama kila mtu wa kule kwetu yeye pia ndugu yake nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…