Usilolijua ni hili, zaidi ya askari 100 wametumika kumlinda Boniface Jacob Mahakamani

Kama kuna askari aliyepigwa, Boniface ana la kujibu kwa kuwa ameipiga serikali.
 
Acha uoga wewe Mimi mwenyewe nina midevu kama hiyo. Namptosha nini sasa?
Narudia..tena Jamaa kama Hezibollah..alafu huyo Bon Yai wengine tunamjua kuanzia kitambo ndugu.
 
Walikuwa kwa nia njema kumlinda wabsaya wake wasmdhuru.
 


Hata wasingekuwepo hapo ndani wangekuwa mahali wanachezea simu and so it doesn't make any difference!
 
Wa juu ya paa picha tafadhali
 
Kwa hiyo uwepo wa usalama mahakamani ndio kutawaletea ushindi😅😅😅 au nimeelewa vibaya?
 
onyesha wewe bas mawazo mapya muhimu na fikra mbadala gentleman?🤣

mbona tu unaonyesha mihemko na makasiriko tu huku huna jipya?🤣

Yaani uliandika mipasho na nikakwambia utimamu wako wa fikra ni finyu halafu unakuja unakanusha. Sibishani na wewe tena kwenye huu uzi. Nishaona kubishana na wewe ni utoto na kupoteza muda tu
 
Its Sound like Bon Yai ndo Mgombea Uraisi kwa chama cha Chadema Mwakani.

Nafikiria tu kwa sauti. 🤔
 
Wamejiunga kwa fujo sana halafu hata wanachokiandika hakieleweki.
Hivi unaona wengine hawana haki ya kujiunga na JF kiongozi baada yako. Kumbuka kuna marika tofauti Tanzania, acha ubaguzi Mkuu. JF tu unaionea choyo ukishika madaraka unayopambania utawakumbuka vijana wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…