Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa alikuwa mkurugenzi wakati ule Akwilina alipouwawa. Sasa yeye kushiriki chaguzi za CCM kama mwanaCCM kunq ubaya gani? Je kama alishastaafu utumishi wa umma?
Acheni siasa njaa bana.View attachment 2381711
Usitupangie cha kufanyaSawa alikuwa mkurugenzi wakati ule Akwilina alipouwawa. Sasa yeye kushiriki chaguzi za CCM kama mwanaCCM kunq ubaya gani? Je kama alishastaafu utumishi wa umma?
Acheni siasa njaa bana.View attachment 2381711
Huyu jamaa alipokuwa mkurugenzi ndio alifyatua bunduki?Inatakiwa kumnyazia kiongozi muovu,?!
Sijawapangia sasa hii hoja itawwsaidia nini?Usitupangie cha kufanya
Kweli bado wewe ni MpuuziiiiiiiNa hasa upande wa viroba vya maiti ufukweni , kweli imegota
Huyu jamaa alipokuwa mkurugenzi ndio alifyatua bunduki?
Kwani mlipoandamanq alikuwepo?Ni zaidi ya mfyatua bunduki maana yeye ndio anatoa maagizo.
Kwani mlipoandamanq alikuwepo?
Damu ya binti huyu itamlilia na kumuandama muda wote wa maisha yake, ni lazima itafika muda naye yatamfika majanga makubwa tu.Sawa alikuwa mkurugenzi wakati ule Akwilina alipouwawa. Sasa yeye kushiriki chaguzi za CCM kama mwanaCCM kunq ubaya gani? Je kama alishastaafu utumishi wa umma?
Acheni siasa njaa bana.View attachment 2381711
Acha kupotosha. Mkurugenzk anahusika vipi na kutawanya unlawful assembly?Unauliza au unapigia jibu mstari?
Yeye ndio alifuatia risasi?Damu ya binti huyu itamlilia na kumuandama muda wote wa maisha yake, ni lazima itafika muda naye yatamfika majanga makubwa tu.
HayaKweli bado wewe ni Mpuuziiiiiii
Au ndiye Igudunde🥱Sawa alikuwa mkurugenzi wakati ule Akwilina alipouwawa. Sasa yeye kushiriki chaguzi za CCM kama mwanaCCM kunq ubaya gani? Je kama alishastaafu utumishi wa umma?
Acheni siasa njaa bana.View attachment 2381711
Vipi wanachukua chako mapema walioudandia zamaaaani sijui hata wanajua au hawajui🥱Wamebakisha kudandia mtumbwi wa vibwengo tu
🤣😯Vipi wanachukua chako mapema walioudandia zamaaaani sijui hata wanajua au hawajui🥱
Acha kupotosha. Mkurugenzk anahusika vipi na kutawanya unlawful assembly?
Kukichwa kutapambazuka... Mungu ibariki CHADEMAKwa wageni wa JF ama labda na Wenyeji lakini Wasahaulifu , Aron Kagurumujuli alikuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni , aliyeshiriki kikamilifu kutokomeza Demokrasia na kuhusika kwa Udi na Uvumba kwenye Mauaji ya Akwilina , Mwanafunzi wa chuo cha NIT , aliyepigwa risasi na Polisi na kupasuliwa kichwa ndani ya Daladala , kwenye Mauaji ambayo walengwa hasa walikuwa viongozi wa Chadema , Kagurumujuli alishirikiana Kikamilifu na RPC wa Kanda Maalum aliyeitwa Lazaro Mambosasa .
Hadithi hii ni ndefu sana , na nina hakika kwa dondoo hizo hapo juu angalau nimewakumbusha jambo .
Bali itoshe tu kusema kwamba Kagurumujuli , aliyekuwa Msimamizi wa Uchaguzi unaoandaliwa na Tume ya Uchaguzi , Amechaguliwa kwa kishindo kuwa MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA kutokea Wilaya ya Kinondoni , kwa tafsiri ya haraka , inaonyesha kwamba wanaccm wa Kinondoni wamemlipa Kagurumujuli kwa kazi nzuri ya kukisaidia chama chao na kushiriki mauaji ya Akwilina .
#Katiba mpya ni sasa