Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wamekuwa single mother na kushindwa ndoa kisa walikukataa wewe?Lakini naye akukatae kistaarabu sio kwa dharau. Mimi namheshimu sana mwanamke anayenikataa kwa kuniambia LIVE siko moyoni mwake na uwezekano haupo au akaniambia kabisa ana mpenzi/mchumba. Bahati nzuri karibu wote walionikataa kihuni wamekuwa single mazas na wengine ndoa wameshindwa. Sasa hivi wananitaka mimi siwataki.
Ila mwanamke anae kukataa na anaeweza kukubali anaonekana kabla hata hujalianzisha.. kupigwa cha mbavu ni matokeo mabovu ya uchunguzi wa kina kabla hujatongozaUkikataliwa katalika
Kweli kuna mienendo ukiiexperience unajua kabisa kifuatacho ni kipi. Kuna Ke unatongoza tu kubahatisha lakini majibu ulishayajua mda tu.Ila mwanamke anae kukataa na anaeweza kukubali anaonekana kabla hata hujalianzisha.. kupigwa cha mbavu ni matokeo mabovu ya uchunguzi wa kina kabla hujatongoza
Na siku hizi kama una vicent, huna haja ya kutongoza, ni kutengeza mazingira ya maongezi ya kawaida tu, mvute kwenye 18 za out mtoe out za kibabe kadhaa wanajaaga wenyewee bila hata kumtongoza ingawa hii inachukua mdaKweli kuna mienendo ukiiexperience unajua kabisa kifuatacho ni kipi. Kuna Ke unatongoza tu kubahatisha lakini majibu ulishayajua mda tu.
Mbinu hiyo inachukua muda kwa wale wenye misimamo sana sio wale wa maji mara moja.Na siku hizi kama una vicent, huna haja ya kutongoza, ni kutengeza mazingira ya maongezi ya kawaida tu, mvute kwenye 18 za out mtoe out za kibabe kadhaa wanajaaga wenyewee bila hata kumtongoza ingawa hii inachukua mda
Ndio muwe mnatukubalia, mlipewa bure toeni freeWanaume vingine ungevikataa utajuta kuzaliwa
NakaziaUkikataliwa katalika
Unakataliwa unagoma mpaka serikali inaingilia kati πNakazia
Upo sahihi.....Kuna wanawake wanakataa kwasabb mbingu zinafahamu umri wa huyo ni mfupi. Hivyo zinampa muongozo akukatae. Ungemuoa soon ungebaki mgane.
Kuna mwanamke anakukataa kwasabb mbingu zinajua wewe ni mwema, mnyenyekevu na mwaminifu wakati huyo mke ni kicheche, purukushani nguo kuchanika. Ukimuoa utakufa mapema.
Ndiyo maana tunaambiwa na maandiko kuwa "shukuruni kwa kila jambo"
Hua nashangaa sana wanaume wanaowasema wanawake kisa wamekataliwa... Like haturuhusiwi kuwakataa?Unakataliwa unagoma mpaka serikali inaingilia kati π
Kuna yule jamaa aliefunguliwa kesi kwa kumsumbua ex kampigia simu zaid ya mara 800 ndani ya siku mbili.
Poor intelligence assessment sio ?...Ila mwanamke anae kukataa na anaeweza kukubali anaonekana kabla hata hujalianzisha.. kupigwa cha mbavu ni matokeo mabovu ya uchunguzi wa kina kabla hujatongoza
Hao ni wa hovyo kila mtu ana haki ya kusikilizwa.Hua nashangaa sana wanaume wanaowasema wanawake kisa wamekataliwa... Like haturuhusiwi kuwakataa?
Na sisi tuna vigezi vyetu, so ukiona umepigwa chini jua hujakidhi vigezo so elewa tu sio kwa ubaya.
Duuh πLakini naye akukatae kistaarabu sio kwa dharau. Mimi namheshimu sana mwanamke anayenikataa kwa kuniambia LIVE siko moyoni mwake na uwezekano haupo au akaniambia kabisa ana mpenzi/mchumba. Bahati nzuri karibu wote walionikataa kihuni wamekuwa single mazas na wengine ndoa wameshindwa. Sasa hivi wananitaka mimi siwataki.
Nakazia...Hao ni wa hovyo kila mtu ana haki ya kusikilizwa.
Napokea mkazio πNakazia...