Usimchukie mwanamke anayekukataa

Usimchukie mwanamke anayekukataa

Lakini naye akukatae kistaarabu sio kwa dharau. Mimi namheshimu sana mwanamke anayenikataa kwa kuniambia LIVE siko moyoni mwake na uwezekano haupo au akaniambia kabisa ana mpenzi/mchumba. Bahati nzuri karibu wote walionikataa kihuni wamekuwa single mazas na wengine ndoa wameshindwa. Sasa hivi wananitaka mimi siwataki.
Wamekuwa single mother na kushindwa ndoa kisa walikukataa wewe?

Hivi ukiwa Ccm ni lazima akili zifyatuke?
 
Ila mwanamke anae kukataa na anaeweza kukubali anaonekana kabla hata hujalianzisha.. kupigwa cha mbavu ni matokeo mabovu ya uchunguzi wa kina kabla hujatongoza
Kweli kuna mienendo ukiiexperience unajua kabisa kifuatacho ni kipi. Kuna Ke unatongoza tu kubahatisha lakini majibu ulishayajua mda tu.
 
Kweli kuna mienendo ukiiexperience unajua kabisa kifuatacho ni kipi. Kuna Ke unatongoza tu kubahatisha lakini majibu ulishayajua mda tu.
Na siku hizi kama una vicent, huna haja ya kutongoza, ni kutengeza mazingira ya maongezi ya kawaida tu, mvute kwenye 18 za out mtoe out za kibabe kadhaa wanajaaga wenyewee bila hata kumtongoza ingawa hii inachukua mda
 
Mbinu hiyo inachukua muda kwa wale wenye misimamo sana sio wale wa maji mara moja.
 
Kuna wanawake wanakataa kwasabb mbingu zinafahamu umri wa huyo ni mfupi. Hivyo zinampa muongozo akukatae. Ungemuoa soon ungebaki mgane.

Kuna mwanamke anakukataa kwasabb mbingu zinajua wewe ni mwema, mnyenyekevu na mwaminifu wakati huyo mke ni kicheche, purukushani nguo kuchanika. Ukimuoa utakufa mapema.

Ndiyo maana tunaambiwa na maandiko kuwa "shukuruni kwa kila jambo"
Upo sahihi.....

ukichomolewa usiwaze sana au kujichukia, kubali tu na tafuta mwingine
 
Unakataliwa unagoma mpaka serikali inaingilia kati 😁
Kuna yule jamaa aliefunguliwa kesi kwa kumsumbua ex kampigia simu zaid ya mara 800 ndani ya siku mbili.
Hua nashangaa sana wanaume wanaowasema wanawake kisa wamekataliwa... Like haturuhusiwi kuwakataa?

Na sisi tuna vigezi vyetu, so ukiona umepigwa chini jua hujakidhi vigezo so elewa tu sio kwa ubaya.
 
Wengine sitaki nataka, na ndio maana tuna force King hata miezi kadhaa kila mlume ana end point ya uvumilivu wake.

Ila kukataana kwa nyodo ndio sio fair, wakirudigi wanakujaga kwa kasi halafu wanakuwa kama akili zimepungua kwa jinsi atakavyotaka kukuaminisha,kujitilisha huruma hata kama imepita miaka 10 atatakukumbushia mtongozo uliompiga eti kama juzi tuu..
 
Hua nashangaa sana wanaume wanaowasema wanawake kisa wamekataliwa... Like haturuhusiwi kuwakataa?

Na sisi tuna vigezi vyetu, so ukiona umepigwa chini jua hujakidhi vigezo so elewa tu sio kwa ubaya.
Hao ni wa hovyo kila mtu ana haki ya kusikilizwa.
 
Lakini naye akukatae kistaarabu sio kwa dharau. Mimi namheshimu sana mwanamke anayenikataa kwa kuniambia LIVE siko moyoni mwake na uwezekano haupo au akaniambia kabisa ana mpenzi/mchumba. Bahati nzuri karibu wote walionikataa kihuni wamekuwa single mazas na wengine ndoa wameshindwa. Sasa hivi wananitaka mimi siwataki.
Duuh 🙄
Kumbe we dume, kwanini unajiita mama kwenye I'd?!!
 
Back
Top Bottom