Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wamekuwa single mother na kushindwa ndoa kisa walikukataa wewe?Lakini naye akukatae kistaarabu sio kwa dharau. Mimi namheshimu sana mwanamke anayenikataa kwa kuniambia LIVE siko moyoni mwake na uwezekano haupo au akaniambia kabisa ana mpenzi/mchumba. Bahati nzuri karibu wote walionikataa kihuni wamekuwa single mazas na wengine ndoa wameshindwa. Sasa hivi wananitaka mimi siwataki.
Hivi ukiwa Ccm ni lazima akili zifyatuke?