Usimdharau mtu, jifunze kupitia Historia ya maisha ya Kevin de Bruyne

Huu Uzi itakuwa umendikwa na mjomba wake KDB, maana umekaa kishabiki sana😂😂😂

Pesa aliyokuwa anakula KDB pale Chelsea kwa wiki, ni hela anayolipwa daktari bingwa wa England kwa mwaka. Ila umeandika kama alikuwa anashinda njaa na kulala stand.

Pia, Courtois anakula €288,000. KBD analipwa €430,000. Kuna tofauti ndiyo ila sio mara sita.
 
Nime maanisha kwa Mwaka we Jamaa😆😂😂.
👉Afu kdb ni 🔥🔥 🔥
 
Back
Top Bottom