Usimdharau mtu, jifunze kupitia Historia ya maisha ya Kevin de Bruyne

Huu Uzi itakuwa umendikwa na mjomba wake KDB, maana umekaa kishabiki sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Pesa aliyokuwa anakula KDB pale Chelsea kwa wiki, ni hela anayolipwa daktari bingwa wa England kwa mwaka. Ila umeandika kama alikuwa anashinda njaa na kulala stand.

Pia, Courtois anakula โ‚ฌ288,000. KBD analipwa โ‚ฌ430,000. Kuna tofauti ndiyo ila sio mara sita.
 
Nime maanisha kwa Mwaka we Jamaa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
๐Ÿ‘‰Afu kdb ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ