Usimfanyie wema kupitiliza mke wa mtu

naunga hoja kwa miguu yote.. watujali tu kwakweli thawabu zao ziko mbingunii...
 
N

Ndio Waume zetu mtuonyeshe care ndani, hadi tukinai hizo za nje.

Ukute mume ndani anafoka foka na kununa nuna, huko nje workmate full care na masmile.....
Mkuu kama umeolewa na Bandidu basi ni jukumu lako kumbadili awe Mr Romantic na sio kukubali Care za wanaume wengine.

CARE INA PRICE, HAKUNA VYA BURE...
 
bora watuache tusambaze upendo
 
Wifi nimepata 🤣🤣🤣
Natamani hii comment aione baba K
 
N

Ndio Waume zetu mtuonyeshe care ndani, hadi tukinai hizo za nje.

Ukute mume ndani anafoka foka na kununa nuna, huko nje workmate full care na masmile.....
Wifi baki njia kuu 🤣
 
Sio Kila mke wa mtu anafahamu maana ya neno mke wa mtu.
Wengi wameolewa but utaka waishi kama hawajaolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…