Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,923
aisome Ngariba1 💃Waacheni wanaojua kujali watujali, na Sisi binadamu tunahitaji hizo care, kuwa mke wa mtu sio ulemavu...Kuwa mke wa mtu haiondoi Ile asili ya ubinadamu kutaka kuona unajaliwa na kuthaminiwa, mke wa mtu ni title tu.
Wale magents, endeleeni kutuonyesha care, tunawapenda.