bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Malaya afugiki hata alale nayoNa mpaka jamaa agongwe inje ujue mwanaume hamna kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malaya afugiki hata alale nayoNa mpaka jamaa agongwe inje ujue mwanaume hamna kitu
Wewe care Kwanza halafu mtu ataamua ni mke wa mtu kweli au single but occupied.Sasa nikishakujali si lazima na Mimi unijali au?
#YNWA
Tunashukuru, uzuri mnatupaga hadi nyuma.Waacheni wanaojua kujali watujali, na Sisi binadamu tunahitaji hizo care, kuwa mke wa mtu sio ulemavu...Kuwa mke wa mtu haiondoi Ile asili ya ubinadamu kutaka kuona unajaliwa na kuthaminiwa, mke wa mtu ni title tu.
Wale magents, endeleeni kutuonyesha care, tunawapenda.
🙆🙆🙆Tunashukuru, uzuri mnatupaga hadi nyuma.
NaamWaacheni wanaojua kujali watujali, na Sisi binadamu tunahitaji hizo care, kuwa mke wa mtu sio ulemavu...Kuwa mke wa mtu haiondoi Ile asili ya ubinadamu kutaka kuona unajaliwa na kuthaminiwa, mke wa mtu ni title tu.
Wale magents, endeleeni kutuonyesha care, tunawapenda.
Sawa, lakini kupunguza upendo kwa mkeo kwa sababu yoyote ile ni upunguani.Kama ikitokea mke wa mtu anahitaji msaada, basi iwe kwa kiasi usijifanye unajali kupitiliza sio vizuri.
Sababu ni kuwa, binadamu tuna athiriwa sana na wema, ukimfanyia mtu wema ambao hajafanyiwa au hafanyiwi inaleta tashwishi moyoni.
Mfano:
Mfanyakazi mwenzako (mke wa mtu) anaumwa, itoshe kumjulia hali basi, usianza mara stori nyingi kufanya unamjali sana, huenda mume wake hajafika viwango hivyo, utaleta tashwishi
Umsaidie mke wa mtu kwa kiwango ambocho ni cha lazima sio kujifanya unaenda extra miles, mwisho wa siku mke wa mtu atawaza kuwa anawish angepata mtu 'kama wewe'.
Mbalance shobo na wake za watu.
Sababu zipo. Nimejifunza kwa niliowaona na hizi changamoto.The fear of unknown.
Mkuu tatizo la vijana wengi ni kuamini WANAWAKE HAWAJUI WANACHOKIFANYA.
Vijana acheni kujipa sababu za kuhalalisha UMALAYA wao, Ukiona MKEO amesaidiwa na mtu kisha akaachia Uchi. Basi ujue ulioa Malaya tokea awali. Swala la Mkeo kuliwa nje halina uhusiano wowote na wewe wala aliyemsaidia. Ni yeye na Umalaya wake FULL STOP.
Hakuna sababu yeyote ya MSINGI ambayo itafanya mke achepuke tofauti na UMALAYA wake mwenyewe.
Always focus na issues zako za msingi kupambania future yako usije kuishi kwa mateso uzeeni.
Be a Man.
We mhuni, umejuaje?[emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee. Alafu kuna wake za watu akinogewa nje hadi anagawa tigo kwa mchepuko. Dunia ina mambo nyie
Ilishapangwa wataachana. Mbona wewe unachepuka? Au ni kwa vile mwanamke hana njia kukuacha?Na wengi wanavuliwa chupi kwa kutendewa wema matokeo yake hasara kwao,ukitembea na mke wa mtu ni lazima tu ipo siku au miaka itajulikana na atapigwa chini utaibeba laaana ya watoto wake kukosa malezi ya baba
Hasa baada ya kuona shosti yake anavyothaminiwa na mumewe. Na chanzo ni story zao kuhusu maisha yao.Wakati mwngne wanaanza shobo wenyewe hao, mkanye mkeo.
Haya..we jifanye ndio unawajua sana wanawake. Siku yako ikifika watakushangaza..na utalia sanaa kama fundi bishoo .Hasa baada ya kuona shosti yake anavyothaminiwa na mumewe. Na chanzo ni story zao kuhusu maisha yao.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Nacheka kama mazuri, ila mkuu umeongea point moja muhimu sana ambayo nakiri wengi tunaichukulia poa ilhali ina athari kubwa sana na wengi tunaponzwa na wemaKama ikitokea mke wa mtu anahitaji msaada, basi iwe kwa kiasi usijifanye unajali kupitiliza sio vizuri.
Sababu ni kuwa, binadamu tuna athiriwa sana na wema, ukimfanyia mtu wema ambao hajafanyiwa au hafanyiwi inaleta tashwishi moyoni.
Mfano:
Mfanyakazi mwenzako (mke wa mtu) anaumwa, itoshe kumjulia hali basi, usianza mara stori nyingi kufanya unamjali sana, huenda mume wake hajafika viwango hivyo, utaleta tashwishi
Umsaidie mke wa mtu kwa kiwango ambocho ni cha lazima sio kujifanya unaenda extra miles, mwisho wa siku mke wa mtu atawaza kuwa anawish angepata mtu 'kama wewe'.
Mbalance shobo na wake za watu.
Mimi sijawahi kuchepuka sio kipya nafata nje nyama ya moto ni ile Ile tuIlishapangwa wataachana. Mbona wewe unachepuka? Au ni kwa vile mwanamke hana njia kukuacha?
Unakuja na michepuko hadi nyumbani, mkeo aipikie chakula mle halafu mnaenda kulalana hadi siku ya pili. Mkeo anona, eti avumiie ni fungu lake.
Kumbe kwako panaume ila mkeo avumilie. Tuache ukatili dhidi ya wake zetu.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
😭😭 muache tu yatayokkuta atalia n kusaga menoHaya..we jifanye ndio unawajua sana wanawake. Siku yako ikifika watakushangaza..na utalia sanaa kama fundi bishoo .